katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,083
- 5,659
Yaani asilimia kubwa ya wanaume wanakuwa hawataki wanawake ambao hawana kazi. Wengi watatulia na walio na ramani.
Yupo tayari kumvumilia dent alioko shule kuliko mwanamke asiye na kazi. Mara nyingi naona hili ni tatizo.
Mbona nyie watu wanawakuta hamna hata hela ya maji wanawasaidia lakini nyie hamuwasaidii?
Halafu mnapenda mpewe hela. Hamtaki kuacha kuomba hela, hii tabia imeanza lini??