Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Je kuwa na wachumba zaidi ya 2 huo ndio umalaya?
Kubadilisha wanawake /Wanaume kila mala ndio umalaya wenyewe?
Au kukaa na kufanya sehemu zako za siri kama mtaji/Bidhaa yaani kuzitumia ila kuingiza kipato chako ndio Umalaya?
ili uwe malaya unatakiwa kuwaje?
Binafsi Mimi Zero IQ nina wachumba wasiopungua 7 na wote nawahudumia vyema kunako 6 kwa 6 je nao ni umalaya wakuu naomba mnijuze.
CC Zero IQ.
Sent using Jamii Forums mobile app