Nahitaji binti wa kula nae raha valentine day awe ARUSHA

Heisenberg

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
1,688
Reaction score
2,982
Hello

Valentine hii nitakuwa Mpweke sana maana Shemeji/ wifi yenu Yupo nje ya nchi Kimasomo.

Nimemuomba ruhusa ya kuspend na binti mmoja siku ya valentine ameniruhusu.

Ila amesema atataka kuongea na huyo binti nikisha mpata.

Sooo kama ww ni Bint upo chugga check me tufanye arrangements za Valentine Day

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nimekutana na huu Ujumbe toka FB sio mimi jamani
 
Huku hamna DM.. ni PM

"All the gods, all the heavens, all the hells are within you"
 
Hello

Valentine hii nitakuwa Mpweke sana maana Shemeji/ wifi yenu Yupo nje ya nchi Kimasomo.

Nimemuomba ruhusa ya kuspend na binti mmoja siku ya valentine ameniruhusu.

Ila amesema atataka kuongea na huyo binti nikisha mpata.

Sooo kama ww ni Bint upo chugga check me tufanye arrangements za Valentine Day

Njoo Dm kamavipi

Mkuu, mbona haufananii na post yako. siyo mbaya kuwa na hitaji lako kama hilo. Lakini presentation ya ombi lako limekaa kitoto mno adi wahusika wanakushangaa. Edit basi ili wajue kama upo serious maana hawa ngiri wameumbwa kwaajiri yetu.
 
Mkuu Rudia tena kusoma hii Dram tu. Ni ujumbe wa kucopy na kupest.
Sorry then[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Push to Start
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom