Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 16,487
- 38,388
Wakuu hii tabia huwa inanishangaza sana, utakuta mtu amekuomba hela au kaomba umkopeshe.. Na wakati huo na wewe ukawa huna kitu au huoni matarajio ya kurudishiwa!!
Sasa huyu mtu kwa kumuheshimu tu unamjibu kwamba na wewe una hali ngumu hivyo ajaribu kwingine sasa..
Matokeo yake sasa, mtu ananuna na mawasiliano yanafia hapo... Alafu mtu wa namna hii ukute kabla mlikuwa mnawasiliana kila siku. Hata ukijaribu kumcheki utakuta hajibu kitu!!