Wenye uelewa nijulisheni!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Hivi nyie wadada eti nini tofauti kati ya "MAZIWA YA MWANAMKE NA MATITI YA MWANAMK!"
Mwanamke mweny Titi ni yupi na Mwanamke mwenye Ziwa ni yupi??
Weekend njema! Comment fupi fupi mambo ni mengi muda ni mchache!
 
Labda niwasaidie kwa uelewa wangu kidogo...
Hakuna maziwa au matiti
Hivyo vyote ni vitu sawa..
Lakini kwa kitaani mwanamke yule mwenye chuchu kubwa ndio wanamwita ana mtindi au maziwa..
Lakini yule mwenye chuchu ndogo ndio wanasema ana matiti

Matiti ni sehemu ya mwili ambayo hutoa maziwa. Kwa lugha nyingine matiti ni yabisi (solid) na maziwa ni kimiminika (liquid).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom