Nipe nikupe

Nipe nikupe

12 Marook

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
441
Reaction score
331
Habari zenu wana JF nnaimani kuwa mko salama, bila kupoteza mda nidondokee kwenye mada yenyewe. Hivi ili neno nipe nikupe maana yake ni nini haswa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AY lyrics

"Nipe nikekupe raha tupate"[emoji444][emoji443][emoji443]
 
Nakupa hela wewe unanipa papuchi!

Hiyo ndio nipe nikupe
 
Back
Top Bottom