Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

L, kila nikikukumbuka moyo wangu unakosa amani. Wewe ulikuwa mwanamke mwenye roho ya kuvumilia mengi, Nilikuchukulia simple sana nkakufanyia kila aina ya maudhi. Kila nilipoanzisha mada yenye...
2 Reactions
73 Replies
7K Views
Kwa mfano mchimba madini anakomaa kila mgodi ili apate madini.atatahama kila mgodi lengo Ni kupata mali.sasa je tunaofanya umalaya unataka kila mwanamke umpitie ili ugundue nini?kwa sababu...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na mmama,baada ya kuchat chat nae tukapeana mawasiliano Huyu mmama hajaolewa kaniambia hataki ndoa kwa sababu hapendi stress,mi nikamtongoza...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Kuna bidada mmoja analalamika sana kwamba wanaume wa jamiiforum hawajui kutongoza, lakin anasahau kwamba kila mwanamke kuna vitu anavyovipenda, ambavyo ni tofaut na mwingine. Kwa mantik hiyo...
12 Reactions
14 Replies
3K Views
Ama kweli wahenga waliona mbali sana, ndiyo maana wakatoa misemo mingi sana ya kuelimisha na kuionya jamii. Mfano:- Ujinga ni mzigo. Yaani unaacha kukimbia km 7.5 kwa kukukuruka na mkeo unaenda...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Mimi nibkijana naishi nyumbani kwa wazazi ila katika harakati za ujana nilijikuta nazaa na mdada mtaa jirani. Sasa yapita miezi 3 tangia ajifungue ameshaanza usumbufu eti nikamzibue mtoto masikio...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
MWANAUME ame umbwa na koromeo. Ndiyo sentesi utakayoisikia mitaani kunapokuwa na mjadala unaohusisha suala la uvumilivu, kubeba siri na kukubaliana na matokeo yoyote! Kwamba inaaminika mtoto wa...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Wanawake wanaompenda mwanamme kwa kila hali ni wachache sana, wengi wa miaka hii wanataka pesa au uwezo wa maisha ya mwanaume na sio upendo wa kweli. utakuta mwanamke anataka kuolewa na mwanaume...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Angalia umri wako na status yako saivi Wengi mnaojitambua saivi ni mlio chuo, mmemaliza na wengine mliopo na maisha yenu najua mpo kwenye age ya 20,21,2,3,4,5,6,7,8,9,30 Age yako usidharau...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
I:USIHARAKISHE. Usiharakishe na kukurupuka kutafuta mchumba kabla ya wakati muafaka.Pengine unaweza kujiuliza ni wakati upi ni muafaka kutafuta au kuwa na mchumba?ni wakati unapokuwa umekomaa...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Hakika mimi nimeshindwa kujizuia, sijawai waza kama naweza hata fanya chochote juu yake but nimeshindwa kabisa baada ya kumuona na mazingira yalikua rafiki ingawa hatarishi. Na yeye hakuweza...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nasikia ila Sina uhakika kwamba ukihesabu mbavu za mwanamke na mwanaume,utakuta za mwanamke Ni nyingi kuliko za kwetu.kwenye stori ile ya uumbaji Hili Jambo halikufafanuliwa sana lakini ukweli Ni...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Na mimi avatar yangu nimeamua niweke picha nikiwa nimevaa black SUIT kama wafanyavyo wengine ili waonekane smart kwa ma SHE .... UZI TAYARI
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Mara nyingi huwa tunasisitiza umuhimu wa kumsikiliza mtoto. Kwanini tunasisitiza sana suala hili? Taarifa nyingi tunazopokea katika Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto kuhusu ukatili wa kingono...
19 Reactions
20 Replies
5K Views
Hapa vijana wa bongo kabla ya yote lazima wathaminishe kwanza kama ana "chura" ama la!!! Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Unakuta mwanaume/mwanamke anakupenda unamkataa Kwa kuamin kwamba hajakidhi vigezo vyako. Lakin unakosa kabisa mwanaume/mwanamke anayekupenda katika kiwango kile cha yule wa kwanza, mda mwingine...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Sorry! Mimi ni mtanzania mwenzenu nahitaji vitu kadhaa vya kuzingatia wakati wa kumtoa out mpenzi wako (wangu), coz kwangu ni mara ya kwanza kufanya hivi jamani, sasa basi...
2 Reactions
68 Replies
16K Views
“If you’re beautiful and have a brain and a vagina, you can own the world.” Wanawake wengi hawajui hilo.ila ni ngumu pia kupata wa namna hiyo mwenye hizo sifa kuu tatu. 1. She is Beautiful 2. She...
19 Reactions
116 Replies
13K Views
Hakika mimi nimeshindwa kujizuia, sijawai waza kama naweza hata fanya chochote juu yake but nimeshindwa kabisa baada ya kumuona na mazingira yalikua rafiki ingawa hatarishi. Na yeye hakuweza...
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Yaani mtu anakuja mnakaa mnapiga story za kindugu anakuona na tatizo flani akuambii, Ila akitoka anaanza kutangaza kana kwamba umempa maelezo. Unashangaa ndugu kadukua namba ya H/Girl au mtu wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…