Maisha hayukupi kila unachokitaka

Maisha hayukupi kila unachokitaka

dennoo_appliances

Senior Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
136
Reaction score
192
Unakuta mwanaume/mwanamke anakupenda unamkataa Kwa kuamin kwamba hajakidhi vigezo vyako. Lakin unakosa kabisa mwanaume/mwanamke anayekupenda katika kiwango kile cha yule wa kwanza, mda mwingine inabid umkubal tu anayekupenda Kwa sababu maisha hayukupi kila unachotaka
 
Kanuni ya Usalama kwa Wanaume, in kwamba "Oa mwanamke aliyeanza kukupenda kabla ya wewe kuanza kumpenda"

Hapo una asilimia nyingi za kuwa na Ndoa/Mahusiano imara.
 
Back
Top Bottom