Proof:Wanayofanya wanawake,wanaume hatuyawezi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
8,576
2,000
Nasikia ila Sina uhakika kwamba ukihesabu mbavu za mwanamke na mwanaume,utakuta za mwanamke Ni nyingi kuliko za kwetu.kwenye stori ile ya uumbaji Hili Jambo halikufafanuliwa sana lakini ukweli Ni kuwa adamu alipolala mbavu zake baadhi zihamishwa akapelekewa Hawa sa kumbe tayari hawa alikuwa na mbavu sawa na adamu ila akaongezewa TU na za ziada.Mungu alitumia hekima akaona huyu anayeenda kuwa msadizi wa mwanaume lazima awe na uwezo wa ziada.kwa hiyo tusijidanganye kuwa wanawake Ni dhaifu wa mwili na roho,Hawa watu mama zetu Wana NGUVU Sana
Ebu fikiria kazi anazofanya ungepewa wewe ungeziweza?mtu abebe mzigo miezi Tisa, azae,achote maji,apike,afue,alee mtoto,Bado Tena aje kukukatikia.sio NGUVU za kawaida mjue Ni maajabu sana.ebu wazia kwa mfano TU ingekuwa sote tuna uwezo wa kuzaa wanaume wangapi mngekuwa mpo tayari kushika mimba na kulea mtoto akunyee miaka miwili.kuna wanaume watabisha watasema kuwa mwanaume anafanya kazi ngumu ambazo mwanamke hawezi kama vile kuchimba mashimo,kwenye migodi n.k.hata hizi wao wanaweza ila tu mgawanyo wa kazi kulingana na jinsia haukuwa fair jamii ililazimishwa kuamini Hilo Jambo kuwa hawawez kuzifanya ila wanaweza
Wanawake Wana maajabu,we fikiria mtu hakupendi anapenda pesa zako ila hutakaa ujue atakupa mapenzi Kama kawaida na kukuvumulia.wakati sisi wanaume mtu Kama humpendi huwezi kulala naye zaidi ya mwaka lazima TU utamchoka.wengine asipokupenda hata ndugu abdala kichwa wazi hasimami kabisa.
Kuna Malaya wanajiuza akiamua anaitembeza mbunye kwa wanaume hata 25 kwa siku na kesho anaamka furesh tu Ila na uhakika hakuna mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wanawake Saba kwa siku never.kwa hiyo ndugu zangu tukubali tukatae wanawake Wana mauwezo na maajabu kupita sisi.
 
madawi mart

Senior Member
Nov 27, 2018
177
225

h ha hhhhhhhhhhhhhhhhhhha
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
7,212
2,000
Nyuzi za kutoa sifa za kijinga kama hizi ndio zinafanya jamii yetu inakuwa na watoto wa kike wanaovimba vichwa wakijiamini kuwa ni muhimu sana katika jamii kuliko maelezo ile hali kiuhalisia mambo hayapo hivyo.

Hebu ifike muda muache kutunuku sifa ambazo zinapelekea watu kuwa wapuuzi linapokuja swala la uhalisia. Hii miaka ya karibuni kumeibuka kizazi cha watoto wa kike wanye vichwa vikubwa(wapenda kusifiwa bila kufanya lolote) ambao wanaamini wao ni muhimu na wa pekee kuliko chochote na hii inapelekea wao kuwa wazembe katika kuyajua na kujifunza majukumu yao ya asili.

Hivi ingekuwa ni swala la sifa, hawa mama zetu nadhani tulitakiwa kuwalamba miguu kabisa.

Mama waliokuwa hawana kazi wala elimu ila wakatulea watoto 12 wa familia moja bila ulalamishi wala manunguniko.

Mama anafua nguo za baba na watoto wote bila msaada wa housegirl na alikuwa na tabasamu na aliipenda hiyo taaluma ya asili. Leo hapa tuna kima wanalalamika kukaa nyumbani kulea mtoto m'moja. Watoto wawili tu anaanza kutaka kupewa sifa za mama mwenye watoto 50. Pumbavu kabisa....

Wanawake ni wachache sana now days wengi ni watoto wa kike katika miili ya wanawake. Bure kabisa.

Acheni kuwajaza ujinga kwenye hayo makichwa yao yaliyojaa ujinga tayari, hatuuoni tu sababu wameufunika na manywele yao feki ya kafara kutoka india....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SK2016

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
7,971

Big up brother.

Hii comment ndiyo iliyopaswa kuwa Thread kwa huu uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mark girland

JF-Expert Member
Feb 7, 2019
1,028

Mkuu umesema kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Espy

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
69,486

Mbona kama unateseka!!!
 
lhera

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
1,846

Kwa komenti hii ungefungua uzi tu hata sijasoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
11,511

Ila kuna ukweli flani hivi,kuharibika kwa wanawake wa siku hizi kunaanzia kwenye vitu kama hivi.Mimi namjua mtoto mmoja wa kike kalelewa kimayai-mayai sana,shule kwa gari,kawekewa hela kwenye akauti yake binafsi inayozidi milioni moja tokea akiwa mdogo sana,mahause girl wa2 mpaka 3,chumba chake special halali na mtu na kina facilities zote,sasa hivi she is about 23 yrs old,hataki kusikia wanaume wa Kiswahili anadai hawajui kupenda,anatafuta kuolewa na wazungu,nikajua huyu ndio yaleyale...
 
Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,542
2,000
Nyuzi za kutoa sifa za kijinga kama hizi ndio zinafanya jamii yetu inakuwa na watoto wa kike wanaovimba vichwa wakijiamini kuwa ni muhimu sana katika jamii kuliko maelezo ile hali kiuhalisia mambo hayapo hivyo.

Hebu ifike muda muache kutunuku sifa ambazo zinapelekea watu kuwa wapuuzi linapokuja swala la uhalisia. Hii miaka ya karibuni kumeibuka kizazi cha watoto wa kike wanye vichwa vikubwa(wapenda kusifiwa bila kufanya lolote) ambao wanaamini wao ni muhimu na wa pekee kuliko chochote na hii inapelekea wao kuwa wazembe katika kuyajua na kujifunza majukumu yao ya asili.

Hivi ingekuwa ni swala la sifa, hawa mama zetu nadhani tulitakiwa kuwalamba miguu kabisa.

Mama waliokuwa hawana kazi wala elimu ila wakatulea watoto 12 wa familia moja bila ulalamishi wala manunguniko.

Mama anafua nguo za baba na watoto wote bila msaada wa housegirl na alikuwa na tabasamu na aliipenda hiyo taaluma ya asili. Leo hapa tuna kima wanalalamika kukaa nyumbani kulea mtoto m'moja. Watoto wawili tu anaanza kutaka kupewa sifa za mama mwenye watoto 50. Pumbavu kabisa....

Wanawake ni wachache sana now days wengi ni watoto wa kike katika miili ya wanawake. Bure kabisa.

Acheni kuwajaza ujinga kwenye hayo makichwa yao yaliyojaa ujinga tayari, hatuuoni tu sababu wameufunika na manywele yao feki ya kafara kutoka india....

Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa kachefukwaaa huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom