Mara ya kwanza ulipokutana na EX wako baada ya kuachana/ chuniana ilikuaje ?

haszu

JF-Expert Member
Oct 10, 2017
858
1,620
Hakika mimi nimeshindwa kujizuia, sijawai waza kama naweza hata fanya chochote juu yake but nimeshindwa kabisa baada ya kumuona na mazingira yalikua rafiki ingawa hatarishi. Na yeye hakuweza kujizuia, hasira zangu juu yake zikapotea ghafra.

Kwa upande wa pili napata picha y EX ni hatar kwa afya
 
Mh mi huwaga nawakimbia sitak hata ukaribu nap coz huo ndo unakuaga mwanzo wa kuwa na rundo la wapenzi
 
Mimi sina uadui na ma X wangu. Huwa nina kauli mbiu kuwa "Maisha yatawafundisha huko muendako" na ya pili "Ukienda ukarudi hutakuta kama awali". Kwa bahati nzuri wote niliwaambia hizo kauli na wote wanazikumbuka mpaka leo.

Kati ya nilivyofanikiwa kuvifanya dunia hii ni kutawala hisia zangu. Hasira, furaha, msamaha na kutokuweka visasi. Hii imefanya maisha yangu kuwa marahisi mno dunia hii na hao Ma X wamebaki kushangaa nawezaje kuishi nao bila kugusia lolote kuhusu mapenzi. Yote hayo hayakutokea tu ila ni baada ya kujifunza in a very hard way.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunafanana kwa kiasi kikubwa aisee,big up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma x wangu woote nawasiliana nao nomal tu end of the day uwa nawatumia kufanikisha deal zangu but no more migegedo
 
Back
Top Bottom