Vitu gani vya kuzingatia ukimtoa out(matembezi) mpenzi wako?

Msemaji_

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
538
668
Habarini wakuu,

Sorry! Mimi ni mtanzania mwenzenu nahitaji vitu kadhaa vya kuzingatia wakati wa kumtoa out mpenzi wako (wangu), coz kwangu ni mara ya kwanza kufanya hivi jamani, sasa basi nahitaji mchango wenu wa nini nifanye kabla na wakati wa hayo matembezi na kingine sijajua sehemu nzuri ya kukaa na mpenzi wako mkafurahi na kubadilishana mawazo ni sehemu gani.
 
ndugu cha kwanza uwe na pesa mfukoni maana lolote lile linaweza tokea ilo ndo muhimu mengine uja baadae

pesa yako itakupeleka sehem nzuri uwez kuwa na budget ndogo alaf unataka kwenda mcity ndugu watakuomba jicho

lingine uwe mchangamfu usiruhusu ukimya story zikiisha piga ata za uwongo mdomo usije nuka bure
 
Haya me nakusaidia kwa maono yangu au jinsi nnavo penda kuwa treated
Kama una gari hakikisha unamfungulia mlango kuingia au kutoka
Mkikaa msogezee kiti
Mwambie unampenda na unajiskiaje kutoka naye
Ustaarabu wa hali ya juu sio kumshikashika kwy public,mara uombe french kis hell noo
Usiongelee mapenzii tuu utaboa ongelea na maisha kidogo
Mpe first priorty kwa kila kitu hata chakula kama kapenda kitu lets say salad unaweza muongezea yako kidogo
NB mawazo yng tuu
 
Yaan JF dah!, hadi kutoka out unahitaji ushauri nn cha kufanya?, kesho utakuja tena eti ndio naelekea chumbani nishaurin nn cha kufanya.
dah nimecheka sana comment yako mkuu but hujanisaidia kitu hapa
 
Haya me nakusaidia kwa maono yangu au jinsi nnavo penda kuwa treated
Kama una gari hakikisha unamfungulia mlango kuingia au kutoka
Mkikaa msogezee kiti
Mwambie unampenda na unajiskiaje kutoka naye
Ustaarabu wa hali ya juu sio kumshikashika kwy public,mara uombe french kis hell noo
Usiongelee mapenzii tuu utaboa ongelea na maisha kidogo
Mpe first priorty kwa kila kitu hata chakula kama kapenda kitu lets say salad unaweza muongezea yako kidogo
NB mawazo yng tuu
thnks mkuu nimeokota kitu hapa, nitaanza na ushauri huu
 
aya bhna asante

Back
Top Bottom