Mwanamke mwenye hivi Vitu Vitatu.... (BBV)

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,604
2,000
“If you’re beautiful and have a brain and a vagina, you can own the world.”

Wanawake wengi hawajui hilo.ila ni ngumu pia kupata wa namna hiyo mwenye hizo sifa kuu tatu.
1. She is Beautiful
2. She has a Brain
3. She has a Vagina ( ashakum si matusi)

Dunia yote inakuwa kwenye kiganja chako. Hakuna sehemu ambayo mwanamke wa namna hii hawezi pita. Hakuna sehemu atakwama katika kusaka mafanikio yake.

Kama unataka kuoa rafiki yangu oa mwanamke mwenye BBV yaani Beauty, Brain and Vagina. Ila wewe sasa unapaswa uwe tu SMART. hapo ni muhimu sana.

Nawashauri tu wanaume wenzangu acheni ku date wanawake wapumbavuh, wanawake vilaza. Maana hayo mambo yanaambukiza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom