Wakuu tunadeal vipi na ndugu wanafiki

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
3,144
2,000
Yaani mtu anakuja mnakaa mnapiga story za kindugu anakuona na tatizo flani akuambii, Ila akitoka anaanza kutangaza kana kwamba umempa maelezo.

Unashangaa ndugu kadukua namba ya H/Girl au mtu wa nyumbani au Jirani ili awe anakufuatilia maendeleo yako. Wewe ukiongea nae hazungumzi kitu mnafurahi pamoja kumbe anakutakia mabaya na moyo umekunjamana balaa. Anakufuatilia michongo yako kupitia third part akifanikiwa kupata kitu negative ndio basi tena anatapanya taarifa kote ila mkikutana anajifanya rafiki na mtu wa karibu au azungumzii ila macho yanakuwa yanaperuzi kutafuta weakness za kutangaza.

hawa wana wa adamu huwa mnadeal nao vipi huko makwenu. Maana mimi huwa nawapiga uninformed Ban. Yaani namfuta bila yeye kujua, atakuja kujua mbele kwa mbele.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom