Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 979
Yaani hakuna kitu chenye nguvu kama mapenzi, halafu ukute mnapendana kiukweli. Tatizo ni kuweza kujua anachokiwaza mwenzio. Unaweza ukakolea na kuzama haswa lkn kumbe mwenzio anakuhadaa!!
Sitokaa nimsahau binti niliyekaa naye kwenye mahusiano miaka 3. Nilimpenda kwa moyo wangu wote. Nikamtambulisha kwa wazee! Ghafla akaanzisha ugomvi na kujifanya ameninua. Nikapenyezewa na nduguye kuwa anaolewa. Kweli mwezi haujaisha binti akafunga ndoa. Asee nikawa disappointed saana. Nikaomba likizo kazini nikaenda kujitibu majeraha ya moyo.