Mkwala
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,180
- 1,278
Wasalaaam,,
Niende moja kwa moja kwenye hoja,nimekuwa nikiona Wabibi,Wanawake wa Kizungu wakivinjari na Vijana wetu wenye Rasta.Sasa nashindwa kuelewa je? Hawa vijana huwa wanakodishwa kuwastarehesha Watalii wa Kizungu au ni Wapenzi wao.
Juzi kati nililala Hotel moja sasa kuna mama la kizungu lilikuwa na dogo lenye Rasta na mahaba kama kawaida nilijiuliza yaani ufugaji wa Rasta ndiyo faida zake hizo?.Swali lingine hivi hawa wazungu huwa wanapeana taarifa kuwa ukienda Tanzania sehemu flani utakuta Maras wanawasubiria.Mwenye kuelewa huu uhusiano wa hivi naomba anieleweshi.Asante
Sent using Jamii Forums mobile app