1. Ukiwa Kama mwanamke, pale panapotokea maudhi dhidi ya mpenzi wako, nyamaza kimya, ukimya wa mwanamke humsumbua akili mwanaume. Atahisi kuna jambo fulani kichwani mwako na kama anabusara...
Hii jambo lipo kiasili kubali kataa ila ndio ukweli kaeni na wazee watawambia
Wanawake wengi hubeba mimba kipindi iambacho hawako tayali kuzaa hivyo huamua kutoa mimba hapo ndio tatizo huanza...
Angalau itakayonifanya niwe nakasirika angalau hata dk 30 ivi mfululizo ninapokua katika gemu na chumba wangu
N;B Sio kukasirika kisura bali ni kukasirika kimaubile
Habari natafuta mke wakuoa awe na vigezo vifuatavyo
1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,
2: Awe anajitambua na creative kutafuta pesa.
3: Awe tayari kuishi nje ya nchi...
Ndugu zangu tujadili jambo moja,
Kuna nyuzi nyingi sana humu huanzishwa zikiwa na maudhui ya kukosoa mienendo mibaya ya wanawake wa kisasa hasa katika mahusiano na maisha. Nyuzi nyingi ninaziona...
Katika kupiga story na mwanamke/ Msichana ambaye una interest nae na ungependa in some days awe somebody/ Mrs. Akiwa na kauli hizi achana nae
" Nataka kuwa na kazi yangu, Niwe na biashara yangu...
Wakuu mwanamke sio wa kuleta naye mazoea Sana we ukishakuwa naye we kuwa kauzu.usicheke naye kabisa Wala kukenua kenua we cheka na wananchi wengine.akikuzoea Sana mwisho wa siku Inakuwaga...
Maisha yako hivi siku zote unapompa MTU muda wako yeye hudhani wewe kila siku utakuwa free, Lakini Haelewi kuwa unajiumiza kiasi gani kwa ajili ya kumpa muda huoo
Hakuna MTU jasiri kama yule...
Habalin wakuu wangu wa jukwaa bwana awe nanyi
Naandika hapa nikiwa na majonz na mawazo mengi sana juu ya hatima ya maisha yangu
Niko nafanya kaz na bos wangu ambaye ni mwanamke na hana mtoto...
Naanza kwa kucheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Good morning Bazalwane
Huwa nafurahi sana pale ninapopiga story na Mchuchu ambaye sio Demu wangu...
Hellow warembo wangu wote wa Jf wakubwa kwa wadogo habari zenu..,natumai mu wazima wa afya,ni hivii..
MCHUMBA NA HATIMAYE MKE ANAHITAJIKA..
(01). mimi ni kijana 24yrs ,living in dar es salaam...
Dunia ya Leo ina mambo sana tena sana,mwanamke anabebeshwa kazi ambazo ci zake.
Mwanamke yupo kwa ajili ya kuzaa watoto tu.,sio kutafuta Mali km unavyodhania.
Ndio maana wanakuwa kibri...
Kuna jamaa nimefahamiana nae hapa mjini kutokana na mishe zangu nazipiga, mda kama miezi 6 hivi imepita.
Namfaham kawa jina tuu, sifaham anapoishi ,na mara nyingi nikipata Dharura huwa nampigia...
Niliachana na mke miezi sita iliyopita kutokana na mke kutokuwa mwaminifu na kuchepuka mara kadhaa. Nina watoto Wawili wa kiume mmoja na wa kike mmoja. Wote wanasoma shule ya Msingi. Mimi ni...
Nina marafiki wengi saana wa kabila la wasukuma! Hawa jamaa ni mabest zangu mno na nimetokea kuwakubali saana.
Ila nilichokigundua toka kwao, hawa jamaa wanapenda saana kuongea na simu. Sio...
Leo nimekiri mama yuko juu kwenye mambo ya unyumba kwa kweli
kwa waliomsikia akiongea na clouds fm leo kuna semina ya ndoa ingawa nilipingana nao kwa kuweka kiingilio sh 20,000 na kumaanisha asie...
Kama wewe ugonjwa wako wako ni wadada weupe na warembo basi pitia hapa ufahamu makabila yanayoongoza kuwa na wadada weupe na wazuri wenye kuvutia;
1.Warangi hawa wanapatikana wilaya ya kondoa...
Jana kwenye mishemishe zangu hapa mwanza mjini nikawaza weekend hii inaingia nimemis kuogelea nikapanda kuelekea mitaa ya ilemela pale malaika beach kwakua nilijua sina hela ya kuingia mule ndani...