Mwanamke akisha niambiaga hivi, Ndo basi tena

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,059
Reaction score
15,534
Naanza kwa kucheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Good morning Bazalwane

Huwa nafurahi sana pale ninapopiga story na Mchuchu ambaye sio Demu wangu actually,

Mida ya kuagana utasikia anasema
" MSALIMIE WIFIIII"

Hii kauli wanaume wengi huwa wanaitumia ipasavyo. Mwanamke akikiuambia hivi kuna 99% ya kumpata nakuhakikishia

Mabaharia wenzangu wanaelewa umuhimu wa hii kauli

Siyakudumisa Thixo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan kwang hiyo inakuaga ndio chance kabisaaa najua keshafall ila anashindwa aanzie wapi so hiyo ni chokochoko ya kiaina tuuu lazima ujiongeze km baharia[emoji38][emoji38][emoji38]
Hiyo ni nafasi muhimu sana boss

Siyakudumisa Thixo
 
Da sikuijua hii mkuu asante sana kuna pini kali zinaniambiaga hii kauli nakua siwaelewi aisee kumbe naweza kuokota dodo chini ya mpera ee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Da sikuijua hii mkuu asante sana kuna pini kali zinaniambiaga hii kauli nakua siwaelewi aisee kumbe naweza kuokota dodo chini ya mpera ee
I assure U. Kama kuna man unataka kuweka kwenye Targert, Tumia hiyo Phrase hakuna mwanaume anaruka hapo

Siyakudumisa Thixo
 
Naanza kwa kucheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Good morning Bazalwane

Huwa nafurahi sana pale ninapopiga story na Mchuchu ambaye sio Demu wangu actually,

Mida ya kuagana utasikia anasema
" MSALIMIE WIFIIII"

Hii kauli wanaume wengi huwa wanaitumia ipasavyo. Mwanamke akikiuambia hivi kuna 99% ya kumpata nakuhakikishia

Mabaharia wenzangu wanaelewa umuhimu wa hii kauli

Siyakudumisa Thixo
JF siondoki aysee kumb hii manzi hapa nimeshaibaba Ila nailembea mwenye

Akili za kuambiwa changanya na zako🏃🏃🏃
 
Nuksi hizi jaman duuh,duuh bas ajitokeze mchuchu aniambie hivyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JF siondoki aysee kumb hii manzi hapa nimeshaibaba Ila nailembea mwenye

Akili za kuambiwa changanya na zako[emoji125][emoji125][emoji125]

Siyakudumisa Thixo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom