Usizoyeane Sana na mpenzi

Usizoyeane Sana na mpenzi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,756
Reaction score
60,518
Wakuu mwanamke sio wa kuleta naye mazoea Sana we ukishakuwa naye we kuwa kauzu.usicheke naye kabisa Wala kukenua kenua we cheka na wananchi wengine.akikuzoea Sana mwisho wa siku Inakuwaga miyeyusho.
hata ukishamuoa ukamuweka ndani we fanya Yako ukirudi Ni salamu unafanya yako unaondoka.usimzingatie sana wala kumuwaza.
huwezi ukaja ukamuweza mwanamke kikubwa Ni kufanya TU ibada.ukiwa naye kuwa naye,Ukiwa na wageni kuwa naye,ukimtuma aende akikataa potezea.we fanya ibada Kama Ni muislam Sali sana swala tano na kama Ni mkristo fuatilia Soma biblia na hudhuria misa zote na mikutano.
Pia fanya mazoezi kila siku na kula chakula cha asili usile mavyakula yenye mafuta na masukari.fanya Mambo yote kwa ufaham wako tafuta sana faraja popote ilipo na kuwa eneo salama muda wote.hamasisha watu wamche mwenyeziMungu mwanamke wako akikuunga mkono kwenye kazi hiyo itapendeza,asipokuunga mkono ndo Basi Tena we fanya TU kuepuka ujinga kwani ndio Chanzo Cha matatizo yote.
 
Binafsi cha kwanza kabisaaaa, lazima mwanamke awe anampenda Mungu kuliko mimi.


Haingii akilin dem hamuheshim wala hamjui Mungu wake, alafu akakupenda nakukuheshim wee ,haipo !!!!.


Ninapomuhesabu mwanamke kama mjenzi wa familia na jamii nataifa kwa ujumla wake, Daima nitaendelea kuwashauri jamaa kua "Hata kama wee husali, hakikisha umeoa mwanamke anayeesali" ..kinyume nahapo utakua na uzao wenye laana ya kupindukiaa.
 
Daha no coment ila sio kwa wanawake wote wakuwafanyia hivyo wapo wanaojielewa na wanaplay part yao vema kabisa hata ukikenua meno yako sabini bado watakupa nafas yako km kidume tuu
 
wanawake wanatisha hapa jirani yangu mdada kazaa nje ya ndoa mumewe karidhika tu so sad
ulijua aje alizaa nje ya ndoa, maana njia ya kujua pengine wewe ndie baba wa hako katoto, siulizi kwa ubaya lakini naona ajabu unajua ati mtoto sio wa mume wake mkuu
 
Daha no coment ila sio kwa wanawake wote wakuwafanyia hivyo wapo wanaojielewa na wanaplay part yao vema kabisa hata ukikenua meno yako sabini bado watakupa nafas yako km kidume tuu
wanawake ndio wale wale bro..
sasa kam weunabisha we weka nae mazoea sana mpka mwisho utaona majabu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom