Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,210
- 5,681
Ndugu zangu tujadili jambo moja,
Kuna nyuzi nyingi sana humu huanzishwa zikiwa na maudhui ya kukosoa mienendo mibaya ya wanawake wa kisasa hasa katika mahusiano na maisha. Nyuzi nyingi ninaziona zina tija na mimi pengine kwa namna moja au nyingine huwa naungana na baadhi ya hoja zinazoonekana kuwa na tija na kukosoa miendendo fulani
Ila katika hayo yote nauheshimu sana utu wa mwanamke kwa maana mwanamke ndiyo ulimwengu wenyewe, mbali na madhaifu yote ambayo sisi wanaume tunalalama juu ya wanawake lakini furaha na amani ya ulimwengu inalindwa na mwanamke
Kuna uzi umeanzishwa na ndugu dmkali wa kuelezea nyeti za wadada kwa namna mbaya sana, nilipousoma ule uzi moyo ukafa ganzi sana imeniuma kuona ni kwa kiasi gani kuna baadhi ya wanaume wanakosa staha juu ya hawa mama na dada zetu.
Hivi ni kweli mtu mzima na akili yako unaweza poteza rasilimali muda kwa kuandika mavi yale yale?? kweli?? halafu mtu alivyo mshenzi anasahau kuwa ana mama ambaye kamzaa kupitia uchi huo huo ambao anautukana
Kaka nikuambie ukweli tu umeyumba na ningeona ni busara ungewaomba radhi wanawake wote kupitia wanawake wa JF
Kwa niaba yake naomba mtusamehe sana wanawake kwa ujinga wa mpumbavu mmoja kutaka kuchafua taswira halisi ya sisi wanaume MASHABABI
dmkali hujatenda jambo zuri nakuomba uombe radhi