Boss wangu ananizidi miaka 7 na nasikia ana ngoma lakin anataka nimuoe

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
18,716
28,623
Habalin wakuu wangu wa jukwaa bwana awe nanyi

Naandika hapa nikiwa na majonz na mawazo mengi sana juu ya hatima ya maisha yangu

Niko nafanya kaz na bos wangu ambaye ni mwanamke na hana mtoto hata mmoja lakin ananizid miaka saba tena nasikia maneno kutoka kwa watu ya kwamba ana ngoma, kaniganda kinoma kitu kilichonifanya na kupelekea kumugegeda yaan kufanya naye mapenz au watoto wengi wa humu wanaita kupiga papuch yaan tiari papuch yake naijua

Na juzi kanifokea kama sitaki kuish naye bas niache kazi mara moja nami nategemea hiyo kaz na hiyo kaz ndo inaniweka mjini

Naomba ushauri wenu wakuu wangu lakin kumbuken nishamugegeda tiar na alinikuta nikiwa na maisha magumu sana
 
Oa haina shida
 
Nipe no za huyo boss wako PM! Ntampa maraha yote atakayotaka! Suala la ngoma ni ajali kazini! Fanya hima mkuu,hua sina utani Kabisa na hii sector ya gegedo hasa wamama.. Hawana gharama pia wanapenda kubembeleza,michuzi nje nje!
 
Back
Top Bottom