Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama ngono ingekuwa inamfanya mwanaume aowe basi pengine makahaba wote wangekuwa wameolewa maana wengi wako vizuri,inshort hiyo shughuli wanaiweza tena sana tu. Mwanaume anakaa na mwanamke...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakati polisi wakikimbizana na makahaba wanaojiuza katika maeneo mbalimbali maarufu na klabu za usiku, biashara hii sasa imehamia katika mitandao ya kijamii. Biashara hiyo ambayo awali ilikuwa...
4 Reactions
17 Replies
12K Views
Kama ukiona dalili au mambo yafutayo kwa mubebizi wako Jua tu kwamba .. .. ANAKUVUMILIA KWAKUA HAJAPATA MTU WA NDOTO YAKE ILA MWANAMKE KAMA HUYU HAKUPENDI! Kama mwanamke kila unapopanga kuonana...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Simu simu@Ili ubinadamu wako ukamilike lazima uwe na weakness ...kila analofanya binadamu lazima liwe na kasoro..Mwenyezi Mungu katuumba hivyo...sasa katika ndoa nyingi nimehudhuria wengi...
6 Reactions
79 Replies
6K Views
Habari wakuu Vijana tunapitia changamoto nyingi sana hasa kwa kipindi hiki cha utawala wa magu ambao ajira na pesa ni tatizo kubwa kwa vijana Katika maisha isue ya ndoa na kuanzisha familia ni...
20 Reactions
172 Replies
17K Views
Huyu dada jamani ni balaa.... Sisi wanaume rijali tunapata shida sana...siku za nyuma nlipita mitaa ya mwananyamala katika harakati za kukwepa foleni toka mitaa flan jijini dar es salaam...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Kutembea na mume wa mtu sio jambo zuri japo wanawake wengi wanaona ni kawaida bila kujua wanajilimbikizia laana itakayofanya maisha yao kuwa magumu mbeleni. Machozi ya uchungu ya mwanamke mwenzio...
17 Reactions
210 Replies
15K Views
Kuna dem nilimtongoza akakubali , akaniamba anataka kuja kupaona ninapoishi nikamwambia usijar utapajua, siku niliyokuwa free nikamuelekeza getto akaja chakushangaa Nashangaa anaaza kuchunguza...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Wanawake wengi wanatabia moja, kama ameumizwa sana na wanaume basi kila mwanaume anayekutana naye anamuambia “Sitaki mtu wakunichezea, nimeumizwa sana nataka mwanaume siriasi.” Wanasema hivyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Ukiwa Kama mwanamke, pale panapotokea maudhi dhidi ya mpenzi wako, nyamaza kimya, ukimya wa mwanamke humsumbua akili mwanaume. Atahisi kuna jambo fulani kichwani mwako na kama anabusara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii jambo lipo kiasili kubali kataa ila ndio ukweli kaeni na wazee watawambia Wanawake wengi hubeba mimba kipindi iambacho hawako tayali kuzaa hivyo huamua kutoa mimba hapo ndio tatizo huanza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Angalau itakayonifanya niwe nakasirika angalau hata dk 30 ivi mfululizo ninapokua katika gemu na chumba wangu N;B Sio kukasirika kisura bali ni kukasirika kimaubile
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari natafuta mke wakuoa awe na vigezo vifuatavyo 1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea, 2: Awe anajitambua na creative kutafuta pesa. 3: Awe tayari kuishi nje ya nchi...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Ndugu zangu tujadili jambo moja, Kuna nyuzi nyingi sana humu huanzishwa zikiwa na maudhui ya kukosoa mienendo mibaya ya wanawake wa kisasa hasa katika mahusiano na maisha. Nyuzi nyingi ninaziona...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Katika kupiga story na mwanamke/ Msichana ambaye una interest nae na ungependa in some days awe somebody/ Mrs. Akiwa na kauli hizi achana nae " Nataka kuwa na kazi yangu, Niwe na biashara yangu...
51 Reactions
246 Replies
24K Views
Wakuu mwanamke sio wa kuleta naye mazoea Sana we ukishakuwa naye we kuwa kauzu.usicheke naye kabisa Wala kukenua kenua we cheka na wananchi wengine.akikuzoea Sana mwisho wa siku Inakuwaga...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Maisha yako hivi siku zote unapompa MTU muda wako yeye hudhani wewe kila siku utakuwa free, Lakini Haelewi kuwa unajiumiza kiasi gani kwa ajili ya kumpa muda huoo Hakuna MTU jasiri kama yule...
0 Reactions
5 Replies
961 Views
Back
Top Bottom