Hali ya afya ya ndugu /rafiki yangu inanitatiza

Hali ya afya ya ndugu /rafiki yangu inanitatiza

Light Saber Imetosha Sasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
5,165
Reaction score
9,511
Kuna jamaa nimefahamiana nae hapa mjini kutokana na mishe zangu nazipiga, mda kama miezi 6 hivi imepita.
Namfaham kawa jina tuu, sifaham anapoishi ,na mara nyingi nikipata Dharura huwa nampigia aje kuniangalizia ofisi hapa .

Sasa afya yake inanitatiza mwana kakonda kuliko maelezo, makamasi kama yote alafu hajipendi mchafu mchafu tuu anafuga makucha ambayo hayasafishi wala nini, yaani mpaka zimekuwa nyeusi.
Hata siku moja hatujawahi zungumzia maisha ya kila mmoja wetu , just tunazungumzaga mambo ya kiofisi tuu , .
Nataka nimuulize ana tatizo gani maana ananipa wasi wasi wakuu, .
Mwana nlianzisha mahusiano nae coz ni fundi simu so kazi nyingi nlikuwa namplekea now hana mishe tunashinda nae mara nyingi tuu hapa ila afya yake ndo inanitatiza Wakuu .
Ila shida namna ya kumuanza .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Use brain Heriel mara nyingi kuna sababu inayosababisha matatizo yanayoonekana. Kama kweli unataka kumsaidia rafiki yako, tafuta majibu ya mwaswali haya;
👉🏾Marafiki zake wa karibu wanamchukuliaje?
👉🏾Elimu yake na ajira vina hali gani?
👉🏾Alishaenda hospitali na kupata huduma ya afya, vipimo nk. Chakula chake ana hi mudu kula vizuri?
👉🏾Ana imani gani? Ni mshiriki wa ibada?
 
Ni kweli atakuwa anatumia drugs hiyo, kama mnatengeneza simu na kupata pesa nzuri ya kula na afya inazorota kwa nini afya iwe mbaya.
Fanya hivi, wakati wa kula mkale wote chakula kizuri, then endelea kumsoma.
Inawezekana pia hana sehemu ya kulala au hana muda wa kijifanyia usafi, ni msela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom