Jamani hebu punguzeni kulialia .......hela hela hela eeeeeeeeiiiish tafuteni hela sio kulialia mnadhani hata mkihoji jibu litapatikana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka yule dem ulimfuata usiku pale Moro mkuuTutakula kwa jasho letu ndilo jibu.
Hata kula papuchi lazima uombwe pesa ambayo ni matokeo ya kazi zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂Hata kama yeye hayupo humu, watumishi wake wapo humu