Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 978
Nina marafiki wengi saana wa kabila la wasukuma! Hawa jamaa ni mabest zangu mno na nimetokea kuwakubali saana.
Ila nilichokigundua toka kwao, hawa jamaa wanapenda saana kuongea na simu. Sio wote ila wengi hupenda saana simu asee
Ila nilichokigundua toka kwao, hawa jamaa wanapenda saana kuongea na simu. Sio wote ila wengi hupenda saana simu asee