Ukisikia mwanamke ana kauli hizi, stay away

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,059
Reaction score
15,534
Katika kupiga story na mwanamke/ Msichana ambaye una interest nae na ungependa in some days awe somebody/ Mrs. Akiwa na kauli hizi achana nae

" Nataka kuwa na kazi yangu, Niwe na biashara yangu niwe na maisha yangu nifanye vitu vyangu ninunue na kiwanja changu nijenge nyumba yangu"

Kaa mbali na huyo mwanamke. Huwa ni wabinafsi sana. Hutakaa ufurahie maisha nae.

Wakati ww unawaza uwe uwe na mke pia uwe na familia ufanye mambo kwa ajili ya familia, yeye anajiwazia yeye tuu.

"NEVER MARRY A SELFISH WOMAN"

Nafuu uoe mwanamke mshirikina

Siyakudumisa Thixo
 
Kwamba asiwe na dira?

Kama una hamu naye sana fanya mbinu akuingize kwenye mipango yake.

Sasa unakutana na binti anauza chakula umempendea lile nyonyo lake kumtokea tu anaanza kukuletea stori za "....tupange chumba tuishi wote, tuzae na watoto" hapo ndo nibaki?
 
Jf bhana hahaha..
 
Mbio nyingi sana, huyo anatafuta pa kuangukia, ila wakati mwingine wanaume hatujui tunataka nini...
 
Katika kupiga story na mwanamke/ Msichana ambaye una interest nae na ungependa in some days awe somebody/ Mrs. Akiwa na kauli hizi achana nae

" Nataka kuwa na kazi yangu, Niwe na biashara yangu niwe na maisha yangu nifanye vitu vyangu ninunue na kiwanja changu nijenge nyumba yangu"

Kaa mbali na huyo mwanamke. Huwa ni wabinafsi sana. Hutakaa ufurahie maisha nae.

Wakati ww unawaza uwe uwe na mke pia uwe na familia ufanye mambo kwa ajili ya familia, yeye anajiwazia yeye tuu.

"NEVER MARRY A SELFISH WOMAN"

Nafuu uoe mwanamke mshirikina

Siyakudumisa Thixo
Hahahah..! Ameachwa mtu juzi kati kwa hizi maneno..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: dtj

Similar Discussions

Back
Top Bottom