zawadi nzuri ya birthday kwa wadada

zawadi nzuri ya birthday kwa wadada

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
kesho ni birthday ya mchumba wangu, zawadi gani nzuri itamfaa? Msaada wenu wadau. Asanteni.
 
Ninavyotamani kukuletea zawadi hizo,basi tu hujui,haya bana.Karibu nyamachoma jion hii hapa Tilapia.

Asante mkuu... Kwa bahati nzuri hizo zawadi nililetewa siku ya birthday yanngu mnamo July mwaka huu!!!
 
hizo zote sio zawadi mlie sembe nenda kipige kidiga tu hukuna zawadi nzuri kama hii siku muhimu kama hii
 
Sio utoe zawadi mkikutana na mwenzio kapeleka i phone 5 we na vizawadi vyako vya 50 urudi kutulilia hapa.
 
Back
Top Bottom