Je, Kuna haja ya kuchukua watoto wa mume au wabaki na mama zao?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,558
45,829
Kwa uhenga nilionao,na wanaume ninaowapenda nimeona inakuwa ngumu kupata mwanaume ambae hana mtoto.au bikra.nakutana na used tupu.walio bikra wapo ila wapo complicated kuliko hali ya vyama vya siasa tz.
Kutoka moyoni Sina shida na mtoto yoyote naweza nikalea tu vizuri kama wa kwangu.
Tatizo nililogundua baby mama wengi ni watu wasiopenda kukubali matokeo lazima atafanya figisu tu kwa mwanamke mwenzie. Kwa kumtumia mtoto wake alie pale nyumbani
Je Kuna haja ya kuchukua watoto wa mume au walelewe huko huko waliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukipenda boga, penda na ua lake, chukua watoto wa mme changanya na wako mlee pamoja in equal proportional

thanks to god the almighty
 
Kwa uhenga nilionao,na wanaume ninaowapenda nimeona inakuwa ngumu kupata mwanaume ambae hana mtoto.au bikra.nakutana na used tupu.walio bikra wapo ila wapo complicated kuliko hali ya vyama vya siasa tz.
Kutoka moyoni Sina shida na mtoto yoyote naweza nikalea tu vizuri kama wa kwangu.
Tatizo nililogundua baby mama wengi ni watu wasiopenda kukubali matokeo lazima atafanya figisu tu kwa mwanamke mwenzie. Kwa kumtumia mtoto wake alie pale nyumbani
Je Kuna haja ya kuchukua watoto wa mume au walelewe huko huko waliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mwenyewe upo used sana halafu unataka mwamamme bikra? sahau labda uwe na mkwanja mrefu na stress-absorber
 
Lea watoto wa mumeo vinginevyo kadi nyekundu itakuhusu na utamaliza wanaume wa kukuoa. Ila kama una hela njoo pm ntakuoa mimi na bikra yangu ya kiumeni hii halafu mi mtulivu. Hutaki wasubiri wazee wenzako muyajenge.
 
Kwanza mwanaume aliyetelekeza mke na watoto huyo sio mtu,hata kama anakuja kwako mshauri arudi akaitunze familia yake huo ndio ustaarabu.Kama atalazimisha kuwa na wewe kwa sababu ya tamaa zake za mwili,anatakiwa ahakikishe kule alikotoka amewajengea nyumba inayoeleweka pamoja na biashara zinazoweza kuwakimu watoto wake;tofauti na hapo huyo sio mwanaume ni wa kiume na anayempokea atakuwa ni wakike na si mwanamke.
 
Nakushauri endelea kutafuta asie na mtoto.
Unataka kununua kiwanja kilicho na mgogoro
 
Back
Top Bottom