Natafuta Mchumba Ambaye Atakuwa Mke

A Boy From Kigoma

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
249
187
Kama Kichwa Cha Habari Kinavyosomeka Hapo Juu ...., Naitaji Mwanamke Ambaye Yupo Serious And Not 4 Joke

SIFA ZANGU
Nina Miaka 27
Mkristo
Mjasiliamari
Elimu: Nimeishia Ngaz cheti

SIFA ZA MWANAMKE
Awe Mkristo
Elimu yeyote
Awe creativity nasio bongo lala

Mwanamke Ambaye Yupo Interest Utani PM For More Detail About MyselfSent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom