MMU Thread Rehearsals [emoji23] (Learner)

MMU Thread Rehearsals [emoji23] (Learner)

Microgynon

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
853
Reaction score
1,069
Niaje, JF MMU members?. Naombeni mnifundishe jinsi ya kuandika uzi matata. Kila siku nipo nasoma tu nyuzi za wanaMMU naona hali ngumu kwelikweli naogopa hata kuoa [emoji23].
Vidole tayari vinauma hapa, by the way niko single[emoji185], nina kazi tayari na nipo Musoma kikazi. wanawake walio serious karibuni PM [emoji23].


Najifunza tu kuandika threads ndugu zangu [emoji23] imenichukua almost 20minutes kuType hii.

Inspectors karibuni mkague history yangu ya threads [emoji23]

Nifanyeje kuanzisha uzi utakaoTrend kuliko hata ule wa Interest na Aggyjay? [emoji53].


Over [emoji42]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza weka lengo moja kwa uzi mmoja.

Chagua, hapa unataka kujifunza kuanzisha uzi Matata au kupunguza ukali wa maisha au kutafuta mwanamke au kuwa busy PM man wanawake for flirting?

K’ Matata.
 
tangu ujiunge 2016 hadi leo hii hujajua tu kuandika, acha kutuchoresha

thanks to god the almighty
 
Back
Top Bottom