Nimemuacha kisa kaniweka profile whatsapp

Nimemuacha kisa kaniweka profile whatsapp

msemakweli2

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
1,627
Reaction score
1,886
Huyu mwanamke nilimwambia wewe ni mke wa mtu mimi ni mume wa mtu hivyo penzi letu ni siri sawa na tukakubaliana kwamba dhumuni la penzi letu ni kufarijiana kwa kuwa kila mmoja anaweza akawa amekwazika/anakwazika kwenye ndoa yake kwa namna moja au nyingine SAWA

Tumeanza safari week ya kwanza week ya pili nachungulia whatsapp ameweka picha yangu, nikamvutia waya nikamwambia oyo vipi tena mambo gani hayo akasema naitoa, kuchungulia katoa ile picha kaweka picha yangu nyingine, nikamwambia usinijue tena sitaki urafiki na wewe, basi mpaka saivi nina missed calls zake 65 hapa na msg zaidi ya 30
 
Ha ha ha ha ha Mzee inawezekana umeruhusiwa wewe tu kuona hyo status so uspanic sana, hizo mambo zipo sana
 
huyu mwanamke nilimwambia wewe ni mke wa mtu mimi ni mume wa mtu hivyo penzi letu ni siri sawa ,na tukakubaliana kwamba dhumuni la penzi letu ni kufarijiana kwakuwa kila mmoja anaweza akawa amekwazika/anakwazika kwenye ndoa yake kwa namna moja au nyingine SAWA tumeanza safari week ya kwanza week ya pili nachungulia watsup ameweka picha yangu, nikamvutia waya nikamwambia oyo vipi tena mambo gani hayo akasema naitoa,kuchungulia katoa ile picha kaweka picha yangu nyingine,nikamwambia usinijue tena sitaki urafiki na wewe,basi mpaka saivi nina missed calls zake 65 hapa na msg zaidi ya 30
Naomba namba yake ili asikusumbue mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom