Msaada wa mawazo jamani, mke wangu kashika mimba kitoto bado kichanga.

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,129
2,000
Wakuu wanajamvi bila kupoteza mda iko ivi mke wangu kajifungua mwezi wa12 mwaka jana baada ya kujifungua nmekaa wiki tatu bila kufanya chochote,

Sku kazaa zilizofuatia nmefanya tendo mara kazaa ndani ya mwezi uliopta wa1 rakn jana mke wangu kapima amegundulika kua anaujauzito wa mwezi1 yaani mpaka nmesononeka maana mtoto wangu bado mdogo mno nisaidieni kimawazo.

Toa mchango wako nisingependa kejeli
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Super women 2

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
5,163
2,000
Mkiwa na mtoto Mdogo katika kupeana raha. Muwe mnakumbuka kutumia P2 hata Kama wifi akikwambia yupo siku salama.

Same time's genye zikizidi inabidi udanganye ili utolewe.
Anyway poleni .inabidi mzae tu.
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
5,334
2,000
Bila shaka imani yako ya dini itakua imechangia kwa kiasi kikubwa hali hiyo kutokea. Huwa mnazuiliwa kutumia njia za uzazi wa mpango zile a hospitalini, zaidi mnaambiwa mtumie njia ya asili(kalenda) wakati ina kawaida ya kubadilika.

Pole. Hapo muanze tu kulea mimba nyingine huku mkimuanzishia huyo mtoto yale maziwa ya lactogen 1. Na tuamini mke wako alijifungua kwa njia ya kawaida na si kwa upasuaji.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom