Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Binadamu anapenda vitu vingi sana lakini vitu anavyovipenda zaidi kwa mtiririko ni kama ifuatavyo: kula,mapenzi,muziki,mpira wa miguu 1)chakula-kila mtu anapenda kula,ijapokua kula ni lazima ila...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
katika vitu ambavyo najiuliza ni kwanini mwanamke akimzidi mwanaume kielimu au kipato huwa wanadhalau sana wanaume zao na kuwanyanyasa Nasema hivyo kwa sababu nina mpangaji mwenzangu alikuwa...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Nimeikuta mahala Fulani. Soma nawe ujifunze Nilikua nikiamini kuwa mwanamke sio mtu wa kuamini, kila nikiangalia mapenzi namna watu wanavyoumizwa na kutapeliwa niliamua kumuamini tu Mama yangu...
5 Reactions
12 Replies
5K Views
Wake zetu wanafanya kazi kubwa kweli katika kutunza familia;watoto,wakwe,mtoto mkubwa(mume) n.k. Wengine walichekwa na marafiki zao kwa mkeo kukubali kuishi na wewe. Yeye ndio baba,mama,kaka,dada...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
ULAJI WA CHIPS umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote. SAHANI moja...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Thanks
0 Reactions
9 Replies
991 Views
Habari za mchana wakuu, Kuna rafiki yangu ambaye hana bahati ya kupendwa na mtu wa dini yake. Wakati anasoma chuo alibahatika kupendana na kijana mmoja ambaye alikuwa tayari kufunga ndoa na huyo...
2 Reactions
57 Replies
5K Views
Kwa mlio na kumbukumbu, j'5 kama sikosei nilileta ka- thread ambako niliwaomba ushauri kuhusu bi dada flani hivi anaekuja(ga) kuweka pesa kazini kwangu.. Sasa basi leo nikiwa natoka church, mara...
1 Reactions
170 Replies
11K Views
Wanawake huwa mnawamiss wapenzi wenu ambao mmetengana kutokana na sababu mbalimbli zilizopelekea kuwa mbali na mwenzako. Je huwa mnawatafuta kwa kuwapigia simu au ni sisi wanaume tu ndo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hapa nitangulie kusema kwamba, binafsi nimeuelewa sana utafiti uliofanywa na Maprofesa wa Idara ya Sosholojia ya Chuo Kikuu cha Chicago! Kwa ufupi utafiti huo unasema kwamba uhusiano unaoanzia...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari za muda huu Wakuu? Binafsi wakati nipo darasa la 2 niliwahi kulala kitanda kimoja na Dada mmoja ambaye kwao kulikuwa jirani Sana na kwetu,Wazazi wangu walisafiri wakawaomba majirani zetu...
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Kwa muda mrefu nilikuwa namuhudumia shida zake zote nazitatua, tangu ijumaa nilikuwa naumwa na ana taarifa zote, jana kaniomba hela ana shida nimemwambia kwa leo sina (yaani jana ) si anajua...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Unajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match. Karibuni
14 Reactions
218 Replies
13K Views
Ulikuwa unampemda, ulikuwa na malengo nae na ulitamani sana siku moja aje kuwa mke/Mume wa maisha yako,ulijitolea kwa kila kitu, ulipoteza muda wako ili tu kila siku umuone akiwa na Furaha...
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Nilijifunza kutoka kwa m1 wa marafiki zangu wa karibu, i would like to share the lesson. Akiwa 4th yr (finalist) pale CoET, huyu jamaa alikua very smart darasani, he knew playing the cards both...
37 Reactions
74 Replies
9K Views
Sitaki hta poteza muda hapa. Mwanaume kama umekamilika mwanamke mmoja hakutoshi kabisa nakazia mwanamke mmoja hakutoshi hili halina kupinga labda uwe na matatizo. Mwanaume hautakiwi kulazimisha...
13 Reactions
91 Replies
8K Views
Umetoka shule kwa likizo. Umefika nyumbani unamkuta mama, unamuuliza mama, baba yuko wapi anakujibu yuko kazini. Muda mwingi uko na mama ako tu. Ni siku ya Jumapili, baba anaingia chumbani kwako...
70 Reactions
126 Replies
14K Views
Habari wadau! Mimi ni kijana wa miaka 27, Elimu yangu ni shahada ya kwanza. Natamani nimpate mchumba wa kizungu lakini sijui nianzaje. Nahitaji awe wa rangi (race) zote Dunianiisipokuwa Mwafrika...
0 Reactions
63 Replies
44K Views
Nataka niachane na mpenzi wangu Mimi ntamchana ukweli kuwa Hali imekuwa ngumu kwa Sasa Sina muda kabisa na mapenzi Niko busy kutafuta hizi Mia mbili Mia mbili sangapi nitawaza mapenzi..anisamehe...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Poleni na majukumu wakuu Huu uzi wa kutupia maneno yeyote ya mapenzi yawe ya kuomba msamaha au kusifia yawe matamu yanayomvutia yeyote katika hali yeyote Nimeamua kufanya hivi ili kuwasadia...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…