romantic words

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,046
4,608
Poleni na majukumu wakuu

Huu uzi wa kutupia maneno yeyote ya mapenzi yawe ya kuomba msamaha au kusifia yawe matamu yanayomvutia yeyote katika hali yeyote

Nimeamua kufanya hivi ili kuwasadia wengine katika mahusiano yao maana nimefanya utafiti nimegundua asilimia kubwa ya mahusiano huvunjika uku bado wenyewe wakipendana kwa iyo wengi wao hukosa maneno matamu ya kuombea msamaha

Tiririkeni ili tuwanusuru vijana
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nasubiri hizo romantic words nikopi ni mpastie na yeye
Hapo upo kitandani unamwambia Bae unasubiri afanye nini? Achoke?

Namaanisha chaja kwenye cable lakini.
 
Back
Top Bottom