Toa sababu kwa nini uliachana nae

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,916
24,675
Ulikuwa unampemda, ulikuwa na malengo nae na ulitamani sana siku moja aje kuwa mke/Mume wa maisha yako,ulijitolea kwa kila kitu, ulipoteza muda wako ili tu kila siku umuone akiwa na Furaha,

lakini sasa imekuwa tofauti yule uliyemtegemea siyo tena yule aliye mbele yako,huyu wa sasa ni mwingine wala hukuwaza kwamba ipo siku utakutana nae,

"TOA SABABU KWA NINI ULIACHANA NAE"

CC Zero IQ
 
Mwanzoni ckujua kosa langu
Saiv ndio nimejua hilo
No money no honey
Nakukumbuka sana mwarabu wangu nikizipata lazma ntakutafata

Sichenji buku kwa njaa ya siku moja
 
Ulikuwa unampemda, ulikuwa na malengo nae na ulitamani sana siku moja aje kuwa mke/Mume wa maisha yako,ulijitolea kwa kila kitu, ulipoteza muda wako ili tu kila siku umuone akiwa na Furaha,

lakini sasa imekuwa tofauti yule uliyemtegemea siyo tena yule aliye mbele yako,huyu wa sasa ni mwingine wala hukuwaza kwamba ipo siku utakutana nae,

"TOA SABABU KWA NINI ULIACHANA NAE"

CC Zero IQ
Wewe ZIRO IQ: kila uzi wako unauliza maswali, leo tena unatuambia kwa nini, aaaagh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom