Tuwaheshimu wake zetu

Tuwaheshimu wake zetu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,163
Reaction score
64,224
Wake zetu wanafanya kazi kubwa kweli katika kutunza familia;watoto,wakwe,mtoto mkubwa(mume) n.k. Wengine walichekwa na marafiki zao kwa mkeo kukubali kuishi na wewe.
Yeye ndio baba,mama,kaka,dada n.k wewe upatapo matatizo.
Kwa hiyo tuwaheshimu na kuwapenda wake zetu,inapowezekana kula bata tule nao pamoja.
 
Umeongea point sana, ila nao wajifunze kuwa romantic.... huwa tunauza mechi za ugenini kirahisi kama walivyotufanyia Uganda kwa sababu nyumbani hakunogi.
ha ha ha ha ha
 
Bora wewe umeona umeongea haya...Kuna wanaume wanashinda humu kutwa kuponda wanawake,, yaani wao huwa wanaona mabaya tu ,,,mazuri na magumu wanayafanya wanawake huwa hawayaoni

On behalf of mamas nashukuru

Wanaume kuweni na tabia ya kuangalia mazuri pia yaliyopo kwa wanawake sio kutwa kucha mmekomaa tu na mistakes zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wengine pia wanaosababisha changamoto ndani ya familia zao.
 
Umeongea point sana, ila nao wajifunze kuwa romantic.... huwa tunauza mechi za ugenini kirahisi kama walivyotufanyia Uganda kwa sababu nyumbani hakunogi.
Ongeza nyama kidogo..... hapo pa kuwa romanti zaidi..... Tupatie shule zaidi.
 
Wake zetu wanafanya kazi kubwa kweli katika kutunza familia;watoto,wakwe,mtoto mkubwa(mume) n.k. Wengine walichekwa na marafiki zao kwa mkeo kukubali kuishi na wewe.
Yeye ndio baba,mama,kaka,dada n.k wewe upatapo matatizo.
Kwa hiyo tuwaheshimu na kuwapenda wake zetu,inapowezekana kula bata tule nao pamoja.
Umegusa points za maana kabisa kwa ujenzi na uboreshaji wa familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom