Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,512
Sitaki hta poteza muda hapa. Mwanaume kama umekamilika mwanamke mmoja hakutoshi kabisa nakazia mwanamke mmoja hakutoshi hili halina kupinga labda uwe na matatizo.
Mwanaume hautakiwi kulazimisha game akiringa vuta mwingine fasta huu ndo uwanaume. Mwanaume aliekamilika ana wanawake wengi hata dada zetu wanajua hilo. Nakazia tena wanawake wengi.NAKAZIA
Sent from my iPhone using JamiiForums