Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Pm yangu hapa JF imejaa text za mademu tu,kila demu anakuja na lake, Jamani Tafadharini sana mi ni muuza kiepe tu msije mkanifirisi. CC Zero IQ
3 Reactions
94 Replies
6K Views
Leo ni siku ya tatu nipo nyumbani kwa mpenzi wangu Rebecca maeneo ya Kibamba kwa Mangi. Ndio Muda huu naaamka hata sijaswaki, my Rebecca ashaamka toka saa kumi na mbili anaendelea na shughuli...
41 Reactions
282 Replies
25K Views
Waungwana wa humu nawasalimu sana Tangu nirudi kanda ya ziwa mwishoni mwa mwaka 2018 nimekutana na hali ya kuamkiwa sana na watu mabinti kwa wakaka Kisura mi ni HB haswa nna ndevu kiasi zenye...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Ndugu zangu habarii za Jumamosiiii, naamini wikiend imekaa poa sana Lengo la kuanzisha thread hii kusaidiana tu kimkakati hasa kwa wanaume amabo bado wanaamini katika ndoa, najua kuna wengine...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Binafsi mkasa mbashara kabisa wa kimapenzi ambao unaishi na mimi na kamwe siwezi kuusahau kwani Moyo bado unavuja damu. Ilikiwa April 17 mvua za vuli zikielekea kukoma huko Iringa basi kuna manzi...
13 Reactions
49 Replies
7K Views
Mimi ni baba wa mtoto mmoja wa kiume na naishi pamoja na mwanangu na mke wangu pande za huku kanda ya ziwa. Hapa ninapoishi kuna jirani yangu ambae ni rafiki yangu sana tu nae anaishi na mke wake...
1 Reactions
52 Replies
9K Views
Kama uko kwenye mahusiano na mwanaume ambaye karibu kila siku anakuomba pesa, wala hata si pesa nyingi kihivyo kiasi cha kukufanya ushtuke unaibiwa. Hapana atakuomba elfu kumi, mara atakuambia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Salamu. Miaka mitatu imepita baada ya kuachana na mpenz wangu flani hivi. Baada ya kila mtu kuingia katika mahusiano yake mengine. Sasa leo bwana kama zari alinitembelea kazini kwangu kunipa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Hujafa hujaumbika ! Kushoto mwanadada huyo kwa jina la Nigese(24) amemwagiwa acid na mume wake wa ndoa Pichani ambaye Pia wamezaa mtoto huyo anayeonekana. Acid hiyo imemharibu vibaya uso na mwili...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nafanya kazi sehemu flani, nilikutana na huyu kaka kazini ni mtu anayenijali alishawahi kunisaidia kama pesa n.k hakuwahi kunitamkia kama ananipenda ila kuna vimaswali huwa ananiuliza kama hivi...
3 Reactions
76 Replies
6K Views
Wadau mpo salama bila shaka. Miezi kadhaa nilimtokea dada fulani hivi nikamwambia namna gani nilikwa nampenda Sana. Akasema anashukuru sana kupendwa na Mimi. Nikasema poa, but halikwa jibu...
4 Reactions
124 Replies
13K Views
Wagwan Wakubwa shikamooni aisee mdogo wenu nina mawazo sana maisha magumu sina hata demu wa kuniliwaza toka nmepigwa kibuti nashindwa hata kutongoza swaga zote zmeondoka au yule demu kaniroga...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuanzia ijumaa jioni mpaka jumapili jioni ni kipindi kizuri kwa wanandoa/wapenzi kuwa pamoja katika mazingira yenye utulivu na 'romantic' ili kudumisha uhusiano wenu. Ni kipindi cha kupeana...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari wana JamiiForum, naitwa Christina umri miaka 28. Namtafuta baba yangu mzazi kwani toka nimezaliwa sijawahi kumuona zaidi ya kuambiwa alipokuwa akiishi na mama yangu alishafariki lakini...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Naomba kujua calculaton za ustawi wa jamii za matunzo ya mtoto chini ya mwaka mmoja ikiwa mwanamke ndo ameamua kuvunja ndoa mwenyewe na je kama ulilipa mahari kuna utaratibu wa kisheria wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wasalaam, Kuna kitu nimejifunza mno ya kwamba mwanaume mwenye hela, alafu ana elimu hata ya darasa la saba au form 4, anajali sana kuliko hawa wanaoitwa wasomi alafu ni matajiri, hawawezi kuona...
12 Reactions
269 Replies
19K Views
  • Closed
Habarini za wakati huu wana JF, Naombeni mawazo,ushauri, mchango wowote ule its OK. Kuna Dada nampenda sana there's some degrees za upendo wa kweli kabisa kutoka moyoni mwangu zinaonesha kudata...
1 Reactions
63 Replies
6K Views
Story ni kuwa bibie ambae amekuwa kwenye mahusiano kwa miaka mitano sasa. Alipata bahati kwenda nje ya nchi kwa shahada ya uzamili. Kuonyesha commitment yake , mchumba alikwenda mara mbili...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…