Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,403
- 40,320
- Kuanzia ijumaa jioni mpaka jumapili jioni ni kipindi kizuri kwa wanandoa/wapenzi kuwa pamoja katika mazingira yenye utulivu na 'romantic' ili kudumisha uhusiano wenu.
- Ni kipindi cha kupeana zawadi,kupata vinywaji na 'romantic food' huku mkidumisha uhusiano wenu.
- Walengwa wanatakiwa kuwa smati na kuvaa mavazi ya kumvutia/kumtamanisha mwenziwe huku kukiwa na mziki wa taratiibu kuwakumbusha walikotoka.
- Maisha yenyewe mafupi,kufanya hivi kunapunguza migogoro katika ndoa pamoja na kupigana vibuti kwa wapenzi.
- Hata kama mna watoto,mnaweza kuwawekea mazingira wasiharibu ratiba zenu.
- Wanandoa/wapenzi pambaneni.....ndio maisha yenyewe haya.