mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Salamu.
Miaka mitatu imepita baada ya kuachana na mpenz wangu flani hivi. Baada ya kila mtu kuingia katika mahusiano yake mengine.
Sasa leo bwana kama zari alinitembelea kazini kwangu kunipa hai. Sasa kwa bahati nzuri alikuja na binti mwingine mreembo hivi kuliko hata yeye.
Alipoondoka nikamuuliza huyo bint Nani wako ? Akasema Ni rafiki yangu kwani unamtaka?. Nikamwambia "NDIO"
Akampa namba yule binti , kwa bahati nzuri bint nae kumbe alinielewa vilivyo. Mzee wa kasumba nikamuweka kwenye 18
He! he! he!
Baada ya siku kadhaa Kwanini yule x wangu wa zamani asianze kuni mind? Akadai kuwa bado ananitaka na hataki kushea na rafiki yake. Maana alimwambia ukweli wote lakini yule Dem hakujali.
Ha ha haaa
Wanawake bwana.... Sasa kifuatacho ITV mimi na kasumba zangu ni kuburuza wote.
#maisha simple Kama kuzima tv
chiiiiiiiiiiiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app