Ni mkasa gani wa mapenzi umewahi kukuumiza moyo na ni kama umekutia ulemavu moyoni?

Mwagito84

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
223
500
Binafsi mkasa mbashara kabisa wa kimapenzi ambao unaishi na mimi na kamwe siwezi kuusahau kwani Moyo bado unavuja damu. Ilikiwa April 17 mvua za vuli zikielekea kukoma huko Iringa basi kuna manzi mmoja moto wa kuotea mbali nilikuwa nampenda kinyama. Nikawa nampigia misele kimyakimya na sikutaka mtu yoyote ajua kwani sikuwa na hakika kama atanikubalia. Kimsingi sikuwa nimewahi mtamkia ila nilikuwa namvutia kasi kwa mwendo wa kobe. Siku moja manzi kaja room hata dakika 10 hazijaisha akaja jamaa yangu kunitembelea nilipiga naye O-level, mwanangu sana enzi zile za secondary. Hivyo nikawa na wageni 2 at once. Nikaona isiwe hatari niwachekie soda kwa mangi mtaa wa pili. Ile nimetoka tu sms ikaingia toka kwa jamaa......Oyaaa hii pisi yako mzazi? Mi nikasema NO.....just friend. Bwanabwana ile nimenunua mazaga nataka nigeuke toka kwa Mangi nakuta test tena toka kwa jamaa......Oyaaa kausha kwanza namuimbisha huyu demu anaelekea kabisa. Kilambo cha soda kilinipokonyoka, niliishiwa nguvu. Mwili ulinitetema. Nikamwambia kweli? Jamaa akasema uchune kwanza jomba mi namla huyu manzi kalegea kabisa na lita nishapiga.
Basi nikawa sina namna jamaa akagonga. Sikurudi hadi baada ya saa hivi kuja nakuta jamaa katembea anasema mwanangu nimemla huyo dogo. Pembeni demu kalala usingizi wa pono na kichwani timtimu. Alivyoamka sikusema chochote nikaaachana na mpango huo hadi leo hii. ILA MOYO UMELEMAA HADI LEO na sidhani kama CCRBT wanaweza nifanyia tiba.

Kwa sasa mimi ni mstaafu wa mambo ya mapenzi nikiishi kijijini niliko zaliwa
Idodi-Iringa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salt Bae

Senior Member
Jan 9, 2019
142
250

PISI neno la chuga au linajulikana TZ nzima
 
Zesh

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
14,591
2,000
Hivi kinachowafanya watu msifunguke ukweli kwa rafiki zenu nini???? Ungemjibu wangu yasingetokea ....huu uzembe unasababisha kutokea hayo yaliyotokea ....tena hii ipo pande zote ....mtu haweki wazi Mahusiano yake anakuja stuka rafiki /ndugu yake kapita alipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gh hussa

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
2,838
2,000
Hii story ninayoileta kwenu ni ya kweli na nshawahi kuitolea shuhuda Kwa baadhi ya nyuzi za watu kuna ambao washaiona comment yake

Ni hivi kupunguza maneno sana ntaongelea kiufupi nilikuwa na rafiki angu wa kushibana lake langu.. langu lake alinisaidia Sana kwa kila kitu kuanzia elimu yangu na life langu kiujumla. well kwao walikuwa wanajiweza tofauti na Mimi mtoto wa kitaa msosi Mara mbili home mm nlisoma shule za kawaida haha japo nlkuwa msumbufu sipend shule ila kupitia Msaada wake na wazaz waliweza ni save
Yeye alisoma shule nzuri tu na wote tulimaliza na kufaulu alifurahi Sana advance tulienda shule tofaut still alikuwa msaada mkubwa kwangu

Baada ya miaka kadhaa alitokea binti kiufupi alikuwa rafiki yetu wote wawili naeza nikasema hvyo. Nakumbuka alikuwa rafiki yetu mkubwa Sana tulizunguka nae sana, tulishiriki shughuli mbalimbali pamoja mara nyingi alikuwa pamoja na mimi nlkuwa mcheshi kwake, mshauri mzuri in short Ali enjoy kuwa company na Mimi tulikuwa tukichat na kutembeleana Sana

Story inabadilika pale nilipogundua binti alikuwa kasha develop feeling kwangu in short alinipenda sana ila akuniambia alipenda company yangu na Siku nisipomtafuta au kuongea nae alinilaumu sana alikuwa hachoki kunitafuta yaah in short nilianza kumpenda still sikumwambia... Nikapanga nikamwambie

Kabla sijaenda mwambia rafiki angu aliniambia anampenda Sana huyo binti na asingeweza kuwa na amani bila huyo binti nilimuuliza ushamwambia akasema ndio ila kanijibu kuna mtu anampenda na anatamani ajue ila ndo hivyo anijifanya kichwa ngumu Kama amuelewi so hawez kuwa na mm nilimwambia usijal utampata

Niliwaza nikasema kwa nini jamaa, rafiki angu ateseke hivi kwa nini niwe chanzo cha huzuni kwake akati amekuwa mtu wakuniletea furahi, nikasema huu ndo mda wa kulipa fadhila japo nampenda I decided to let her go.. nikapotea kabisa nikawa sipatikani sijibu sms Zake akuchoka kutuma alikuwa akionana na rfk angu tuwe tuna enjoy good times together wote 3 Kama tulivyokuwa mwanzo still skupatikana rfk angu akawa anaulizwa "GH anashida gani" ila akuwa na jibu

Haha nilikuwa namwambia mwambie kahama mji kumbe mdau npo center zangu nachill na wadau nijitahidi kumsahau haha sjui alipajuaje nashaangaa huyo kaniibukia akasema huo ndo mji ulohama mbona unanifanyia hvyo au kwa sababu nakupenda. Nikashtuka nikasema umesema unanipenda akasema ndio usinifanyie hvyo akaondoka huku machoz yakimlenga mm nimekaa nashangaa shangaa tu still hakuacha kunitafuta

Nikaanza ku act Kama vile muhuni don't care Fulani hivi akipiga au kunitafuta namjibu shit nikapanga mchezo na msichana Fulani nikamhadithia kila kitu nilimwambia a act Kama mtu wangu hii plan ilitiki alikuwa akifadhaika Sana aliumia sana rafki angu alizidisha ukaribu nae hatimaye aka win akauteka mtima wake 1 yr later akamuoa alinialika lkn sikwenda walishangaa kuambiwa nishaondoka kweny mji walisema safari hii kaondoka kweli au masiharaYule binti nilieigiza nae roho ilimuuma akaenda mwambia ukweli wotee alizingua sanaa. Nimekaa zangu ndichi kijijini Yule binti nilieigiza Nae ananipigia simu ananiambia samahan gh sikutaka kushiriki zambi yako ilibidi nimwambie ukweli in short Amelia sanaa na amejaribu kukutafuta amekukosa nimemwambia namba yako sina ila alisema akifanikiwa kuonana na wewe kuna maswali atataka umjibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom