goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,047
- 1,339
Naomba kujua calculaton za ustawi wa jamii za matunzo ya mtoto chini ya mwaka mmoja ikiwa mwanamke ndo ameamua kuvunja ndoa mwenyewe na je kama ulilipa mahari kuna utaratibu wa kisheria wa kurudisha mahari?
Msaada wadau naona huyu mwanamke amefanya makudi ili apate mtaji maana ameenda kujifungua kwao ndo kawa mazima na anasema harudi huku akitishia kwenda ustawi wa jamii kwa madai ya matunzo ya mtoto
Msaada wadau naona huyu mwanamke amefanya makudi ili apate mtaji maana ameenda kujifungua kwao ndo kawa mazima na anasema harudi huku akitishia kwenda ustawi wa jamii kwa madai ya matunzo ya mtoto