Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mdau wangu kanipigia usiku huu analala mika ameota ndoto mbaya kuhusu yeye na mchumba wake ambae wanaishi mikoa tofauti Anasema Ndoto hii anaiota kwa mara ya pili sasa wiki hii Ndoto yenyewe iko...
1 Reactions
2 Replies
692 Views
Kiwango sahii (standard) cha nguvu za kiume ni ipi? Kwa maana kuwa wanaume inasemekana wana upungufu wa nguvu hizo na wengine inasemekana wanazo kiwango cha kupitiliza. Ninawasilisha mjadala
4 Reactions
48 Replies
9K Views
Kuna mtu leo kasema ana PHD kutoka chuo flani ufaransa mara nimepata demu wakiholanzi ntafikaje fikaje huko kwani ufaransa ulifikaje. Mwingine anasema sijui Morogoro nna mademu 10 Dodoma 4 Dar 16...
14 Reactions
43 Replies
4K Views
Wana jf, mm ni kijana niliekatika mahusiano ya kimapenzi na bint mmoja, ambae bint huyu kiukweli japo nmemkuta akiwa na mtoto nmetokea kumpenda sana hadi kufikia maamuzi ya kutaka kuishi nae kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Yaani hii dunia inachekeshaga sana kwakweli... UNAKUTA JAMAA ANA CHUMBA CHAKE FULL ANA KAZI NZURI...ANA BINT MZURIIII ANAMPENDA SANA WANAPENDA NA SOMETIMES WANAISHI PAMOJA USIKUTE FOR ALMOST 3...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukiwa mrembo na unataka kutoka ki maisha njoo Dar Dar binti mrembo anaconfidence kuliko mwenyewe degree Kwa Dar, binti mzuri anaishi maisha expensive kuliko maisha ya mkuu wa chuo mikoani Kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mtu unaamua kufanya something nice for your girl, unamfanyia na surprise kabisa. Lakini reaction yake sasa, unaweza ukajuta. People need to be appreciative.
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Eee bhana swaga zake sizielewi kabisa. Setka zote poa napata mambo ila anafuga rasta,,,napikiwa,mahitaji yote ya kiume napata,kupikiwa na kufuliwa,..anakaa sana kisela,tunatoka out halafu anavaa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wakuu, Watu wengi wamekuwa wakiwalaumu vijana ambao wamefikia umri fulani lakini bado wanaendelea kuishi kwao au kutegemea wazazi wao, lakini chaajabu kila mmoja anatoa muono wake juu ya...
3 Reactions
147 Replies
32K Views
Mwanaume kabla hajao nafas ya mwanamke moyon mwake anakaa mama yake, na ndo maana katika mtu anayeleta upinzan wa mtoto wa kiume katika kuoa ni mama yake, Kwa sababu nafas aliyokuwa anashikilia...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukiwa mrembo na unataka kutoka ki maisha njoo Dar Dar binti mrembo anaconfidence kuliko mwenye degree na masters Kwa Dar, binti mzuri anaishi maisha expensive kuliko maisha ya mkuu wa chuo...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau.. Nipo kijiweni bar ya jirani hapa tunacheki world cup Brazuca.. Kuna jamaa amezua hoja nzito kwamba kamwe hawezi kuoa mwanamke anaetoka familia ya kimaskini maana wengi wao...
6 Reactions
69 Replies
9K Views
Wacha niseme hili wazi Kwenu Najua wakaka mtanuna ila bora Mnune kidogo ili niwaponye Mabinti zangu Iko hivi 😍🤔 Asilimia kubwa ya wanaume wanataka kuishi na wanawake bila kufunga ndoa ili ikitokea...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukiwa mrembo na unataka kutoka ki maisha njoo Dar Dar binti mrembo anaconfidence kuliko mwenyewe degree Kwa Dar, binti mzuri anaishi maisha expensive kuliko maisha ya mkuu wa chuo mikoani Kwa...
1 Reactions
2 Replies
658 Views
Habari zenu wadau: niende kwenye mada. Jana ilikuwa siku maalumu kwangu baada ya kuahidiwa papuchi kwa muda mrefu kidogo, lakini nasikitika kilichonitokea sijawahi kukiona, kifupi nilikuwa na...
9 Reactions
169 Replies
23K Views
......Now days mwanamke mwenye Tako anajiamini kuliko mwenye Degree. Tako Hoyeeeeeeee Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuoa mwanamke mbaya ni udhaifu wako mwenyewe au uoga wa kutokujiamini, Mbaya zaidi mkiishi miaka kadhaa mnaanza kufanana.! Mjifunze kwa wazee wenu kama 1.mzee "Machache" ameoa chombo na mpaka sasa...
6 Reactions
85 Replies
9K Views
Nilikuja na uzi humu kuhusu mpenzi wangu ambae nilishapanga kabisa siku sio nyingi kama Mungu akipenda mimi Zero IQ niuage ukapela Rasmi niingie kwenye nyumba ya Ndoa, Uzi wenyewe ni...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Pm yangu hapa JF imejaa text za mademu tu,kila demu anakuja na lake, Jamani Tafadharini sana mi ni muuza kiepe tu msije mkanifirisi. CC Zero IQ
3 Reactions
94 Replies
6K Views
Leo ni siku ya tatu nipo nyumbani kwa mpenzi wangu Rebecca maeneo ya Kibamba kwa Mangi. Ndio Muda huu naaamka hata sijaswaki, my Rebecca ashaamka toka saa kumi na mbili anaendelea na shughuli...
41 Reactions
282 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…