Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naitaji marafiki wa kike na wakiume Wa kubadilishana mawazo Mimi nikijana Nina miaka 22 ninaitaji marafiki wakubadilishana mawazo aliyetayari karibu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu salaam ! Mwaka 2011-2013 katika vita zangu za kusaka bingo nili hit the right target nikapiga pesa mingi ya udalali wa mbao nlipata tajiri akaniamini nkawa najilia kapercent taratibu ,Huko...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Kwenu wadada, nataka nipate majibu ya swali hapo juu.. cheating hapa sio lazima umkute na mwanamke chumban, bali hata msg, kuhonga, n.k Lengo kuwatia moyo wadada wenzenu kwamba wanaume waaminifu...
2 Reactions
94 Replies
9K Views
Wengi wetu huwa tunajihusisha na biashara za ngono kwa mitindo tofauti. Mara nyingi experiences zinaonesha kuwa kwa wale ambao hujiusisha na biashara rasmi (kundi no. 1 & 2) huwa hawayafurahii...
5 Reactions
569 Replies
125K Views
How to break up[emoji174] [emoji174] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Bosi kakaza hamna kuondoka alafu wife alinambia niwahi kuna zawadi yangu nikichelewa anampa mtu mwingine. Wazee si atakuwa kashampa huyo mtu maana kuna mda nimempigia simu hapokei alafu hajanichek...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
A man can have sex with a lady and still don't have any feelings for her, men only need space to have sex but women need reason to have sex. A woman cannot have sex without feelings except sex...
13 Reactions
30 Replies
3K Views
Ndoa ni ngome inayohitaji kulindwa Kwa nguvu maana ndiko chimbuko la familia zenye mafanikio makubwa hutokea, Familia shupavu hujengwa Kwa ndoa shupavu lakini si Kwa kujiona wathamani zaidi ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo zenu, Ni bora kujipima au kupimwa hospitali na kupewa majibu. Kwa sasa nadhani ukiwa umekaribia 30 na kadhalika lazima uache anasa unatakiwa ujipime nakujua mwelekeo wako. Halafu ukijijua...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Wanawake hakuna kosa kubwa mnalofanya kama kumwamini sana shosti yako, haijalishi mnaivana kiasi gani. Unadhani unafanya vyema kumwambia details za mahisiano yako, yawe mema au mabaya. Hivi...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Hivi kuna mwanaume humu hana namba ya demu anaeitwa Happy ? Maana hawa viumbe wakina happy sijui wakoje ni wagumu kukataa na ni wepesi kutoa mchezo sijui kama nimeeleweka. Kama yupo ajitokeze...
7 Reactions
70 Replies
7K Views
Wakuu katika pita pita zangu huku tabora nnimegundua jambo la kushangaza sana kwa wanawake wa huku...kwanza wajeuri na sio watiifu kwa wanaume wao...pili wanawake wa tabora wanapenda sana...
6 Reactions
27 Replies
18K Views
Laiti kama ningekuwa na uwezo wa kuzirudisha nyakati nyuma.. Moja kati ya makosa ambayo kamwe nisingeyafanya tena chini ya mbingu.. Nikupotezana nawewe ktk maisha yangu..Ningepambana kwa kila hali...
13 Reactions
46 Replies
9K Views
Habari wakuu. Naulizia tu utaratibu wa talaka, hasa kwa ndoa zilizofungwa kiserikali Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu kama heading isemavyo naombeni mbinu pale unamuomba demu namba afu anakuambia kua hana simu hivi wakubwa huwa mnaua vp hili soo au mnatumia swaga gani jameni maana mdogo wenu...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Nimetoka kijijni Kuja hapa mjini mkoani, mkoa wenye baridi kali nashangaa kaka anavyofaidi maji ya moto MI napewa maji ya baridi wakuu hapa si bora tu nisepe? Au nioe wangu! Sent using Jamii...
2 Reactions
79 Replies
6K Views
Jamani, mie nilipata mwenza hapa, nikawa nafurahia mazungumzo baada ya habari, tatizo lilikuja pale nilipokuwa mkweli kwake kwamba kwa hakika hawezi kunila kwasababu nilijua kila nililokuwa...
6 Reactions
233 Replies
17K Views
JESTINA-1 "Jestina....Jestina....Jestina...tafadhali usifunge macho eeeh mungu usimchukue Jestina wangu nitabaki na nani hapa duniani" hiyo ilikuwa ni sauti ya kijana Alwin akiwa amempakata...
3 Reactions
37 Replies
69K Views
Asee nimekutana na kaka mkubwa mmoja hivi, ana Mademu kama 6 hivi na wote wanamuamini balaa yaani huwaambii kitu, wanamsifia sana kwamba jamaa ni mwaminifu na ni mwanaume wa ndoto yao, hata...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Halafu unamnyonya mate mwanamke... Just know this kwamba idadi ya bacteria ambao wapo mdomoni kwa mtu yoyote ni sawa na idadi ya watu wote wanaishi duniani na pengine kuzidi lakini uko uvinzani...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…