Namna nzuri yakulinda ndoa zetu

NYEKUNDU YA BIBI

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
2,298
2,969
Ndoa ni ngome inayohitaji kulindwa Kwa nguvu maana ndiko chimbuko la familia zenye mafanikio makubwa hutokea,

Familia shupavu hujengwa Kwa ndoa shupavu lakini si Kwa kujiona wathamani zaidi ya wengine anguko na inuko lako liko mikononi mwako mwenyewe

(1) usiri
;hii ni moja yasababu kubwa
Inayofanya ndoa nyingi kutetereka
Najua nikazi sana kuvumilia mapungufu lakini jaribu kua msiri si kila mtu yafaa kumwambia mapungufu ya mwenza wako si kila mgeni ajae nyumbani yafaa asimuliwe yaliyomo wengine ni wanafiki ndo Kwanza wanafurahi.

(2muda zaidi wakukaa na familia
Hii hukufanya uijue familia yako inapenda kitu gani sio kila Siku umebeba mkate tu ,hukufanya uimalishe ushirikiano pia hukufanya uzijue vyema tabia za mwenza wako ambazo zilijicha sikutwa kufatilia Barcelona kamfunga ngapi man U

(3)punguza marafiki wasio kua natija

(4) punguza kujiona umkamilifu zaidi nakujiona haujawahi kosea tangu uzaliwe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom