Utamu wa penzi la kupendewa hela..........amaizing!!!!

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,417
Wakuu salaam !

Mwaka 2011-2013 katika vita zangu za kusaka bingo nili hit the right target nikapiga pesa mingi ya udalali wa mbao nlipata tajiri akaniamini nkawa najilia kapercent taratibu ,Huko nyuma mahusiano yaliniprove kwa njia mbalimbali kuwa mapenzi ya kweli sio fungu langu na last time mchumba wangu toka chuo baada ya kunipa pressure ya kutosha nimuoe wakati tunaish geto ye ana kazi mi sina akapata bwana mpya hadi kikao cha pili anatokea kwangu kwenda vikao vya kubebwa na jamaa kujua nikahama ubungo kwa aibu kuu na kukimbilia tabata kinyerezi .

Basi nikajikita kwenye ulevi wa viloba wa kutupwa ndipo kuna bro akanielewa akaniunga na kampuni yake ya clearing ,huko nikakutana na huyo tajiri wa iringa ,Ndugu JAMANI WANAUME TAFUTENI HELA.Nilihamia apartment moja kali knyama huku nasimamisha mijengo miwili kwa mkupuo ,totoz zilikuwa so royal yaani kupendewa hela raha sana no hard feelings .

Nakumbuka enzi hizo nikiona totoz kali barabarani namsalimu kwa heshima kisha nilikuwa na ka -fake business card kanakoonyesha mimi ni CEO na elfu ishirini kisha nasema ya vocha utanipigia akijitusu akapiga namuita kibla eneolenye bar nje lodge ndani na humwambia chukua tax akifika nakapa kilo nakaambia pocket money ,baada ya hapo napewa utamu wa mabo ya bara. Skuwa nabadili miezi miwili nampamtoto bata la mwaka shopping za mil moja huwa ni lazima wiki ya kwanza guys I was 100 % this is not love but it almost felt like it.

Ila baada ya game nilikuwa nafeel so lonely nashindwa zile za kukumbatiana na mtu ambaye nauhakika hanipendi najifanya kuangalia tv navizia alale ndo narudi nikisha ona anaanza kama swaga za kufall namuwekea parachute a-fall salama nasepa maana utamu wa mapenzi ya kondomu haujai kiivyo,nilikuwa na namba maalumu kwa ajili yao nikishaenda kazini nazima kupatikana jion tena ka sms natuma '' njoo chaga bite na rafiki yako'' ni bia bia mikasi napita hivi

Kwa muda huu wote sikuwahi kuumizwa wala kuumiza ,sikuwahi penda wala pendwa naIita ''LOVE HOLIDAY'' KAZI ikaisha nikahamia kwangu kwa msaada wa ushauri wa mabro wa mtaani na wazazi nikatafuta katoto kamoja nyakanga kamemzidi somo na kungwi (hodari by mbosso ) nkajituliza with caution .

Kimsingi I Cherish that moment and i will memorize for the rest of my life ,it was real a wild way but yap it was experience.

NB: Mimi si mkristo wala muislamu so sina kitabu nachoki obey so hayo mambo ya wazungu na waarabu nisisikie .
 
Hakuna ulichoandika cha kujifunza zaidi kujitafutia Ukimwi. Sana sana ulipoteza sana fedha ambazo zingekutoa na Si ajabu sasaivi ungekuwa bilionea mfano wa kuigwa kwa kukuza uchumi wa nchi.
Acheni kuleta ujuaji,ushamba na ulimbukeni kwenye maisha ya watu,mtoa post kuna kitu alitaka kukipitia kwaajili ya kuweka kumbukumbu sawa ktk maisha yake yote yaliyobaki
Pia,nilichojifunza ni kwamba jamaa hakupoteza chochote kwa kuwa alikuwa anafanya umalaya na maendeleo at the same time;huyu kuna kitu kikubwa sana anaweza kuja kusimulia kwa vizazi vijavyo!
 
Waafrika sisi ni wajinga sana,huyu utakuta kwao kuna ndugu zake walikuwa wanahitaji msaada wa masomo au mtaji wa kuanzisha biashara fulani but akawatolea mbavuni ila yupo hapa anajisifia uasherati na huko hadi wakati huu hao nduguze bado wana shida.
 
Huo ndio ushamba wenyewe ulio nao wewe
 
Hakuna ulichoandika cha kujifunza zaidi kujitafutia Ukimwi. Sana sana ulipoteza sana fedha ambazo zingekutoa na Si ajabu sasaivi ungekuwa bilionea mfano wa kuigwa kwa kukuza uchumi wa nchi.
Mkuu mbona unayafanya malengo yako kuwa yangu ,mi yangu ni
1.kuinjoi maisha kadili itavyobidi ilimradi nisiingilie furaha za wengine
2.kuwa na uwezo wa kati wa kujiukimu kusomesha watoto shule nzuri na wamalizapo kuwapa mtaji huku nikizifatilia kwa karibu shuhuri zao zikitengamaa
3. Kuishi nikiwa na afya na kufa umri ambao bado sijaanza mateso ya uzee ,hayo mabilioni ukinipa nusu napeleka kwa yatima nusu mimi na mpenzi wangu ni kula maisha mpaka tukome mara uk mara brunei
Ila sisemi hauko sahihi naheshimu mbio zako za kutafuta ukwasi pengine ndo uliyoandikiwa mimi mambo ya kutekwa staki kabisaaaaaa
 
Waafrika sisi ni wajinga sana,huyu utakuta kwao kuna ndugu zake walikuwa wanahitaji msaada wa masomo au mtaji wa kuanzisha biashara fulani but akawatolea mbavuni ila yupo hapa anajisifia uasherati na huko hadi wakati huu hao nduguze bado wana shida.
Hata kama una fedha nyingi sana,huwezi maliza matatizo ya ndugu zako...na huwezi kuacha kuyafurahia maisha kwa tu nduguzo ni masikini!
 
Mkuu mbona unayafanya malengo yako kuwa yangu ,mi yangu ni
1.kuinjoi maisha kadili itavyobidi ilimradi nisiingilie furaha za wengine
2.kuwa na uwezo wa kati wa kujiukimu kusomesha watoto shule nzuri na wamalizapo kuwapa mtaji huku nikizifatilia kwa karibu shuhuri zao zikitengamaa
3. Kuishi nikiwa na afya na kufa umri ambao bado sijaanza mateso ya uzee ,hayo mabilioni ukinipa nusu napeleka kwa yatima nusu mimi na mpenzi wangu ni kula maisha mpaka tukome mara uk mara brunei
Ila sisemi hauko sahihi naheshimu mbio zako za kutafuta ukwasi pengine ndo uliyoandikiwa mimi mambo ya kutekwa staki kabisaaaaaa
Post haukuandika hiki unachoandika sasa, ungeiandika hivi hata mimi ningekupongeza, Maana kuna vitu vya maana.
 
Waafrika sisi ni wajinga sana,huyu utakuta kwao kuna ndugu zake walikuwa wanahitaji msaada wa masomo au mtaji wa kuanzisha biashara fulani but akawatolea mbavuni ila yupo hapa anajisifia uasherati na huko hadi wakati huu hao nduguze bado wana shida.
Hahahaha bado uko kwenye huo ujinga wenu miafrica haya maisha ni yako mkeo,watoto na wazazi wako tuu ukiendekeza hayo hutavaa dhahabu kwa sababu kuna ndugu kalala njaa ,wajibika kwa asilimia ukipata 100 wagawie 20,20 kula 60 wawekee wanao huwezi futa umasikini wa familia unachofanya unatoa mchango wako,hata bill gates ana dadake anaitwa libbs sio milioneire ,wakati bill gates ana 180 tillion akifa hela yote anasomba binti yake merinda hawapi walio zaliwa na billgates hata buku
 
Post haukuandika hiki unachoandika sasa, ungeiandika hivi hata mimi ningekupongeza, Maana kuna vitu vya maana.
mkuu post ni the practical of this in my life nilikuwa nikipata almost 6 mil per month 3 inaenda ujenzi tatu nakula kwa fujo sana ,its my life my choice
 
Wakuu salaam !

Mwaka 2011-2013 katika vita zangu za kusaka bingo nili hit the right target nikapiga pesa mingi ya udalali wa mbao nlipata tajiri akaniamini nkawa najilia kapercent taratibu ,Huko nyuma mahusiano yaliniprove kwa njia mbalimbali kuwa mapenzi ya kweli sio fungu langu na last time mchumba wangu toka chuo baada ya kunipa pressure ya kutosha nimuoe wakati tunaish geto ye ana kazi mi sina akapata bwana mpya hadi kikao cha pili anatokea kwangu kwenda vikao vya kubebwa na jamaa kujua nikahama ubungo kwa aibu kuu na kukimbilia tabata kinyerezi .

Basi nikajikita kwenye ulevi wa viloba wa kutupwa ndipo kuna bro akanielewa akaniunga na kampuni yake ya clearing ,huko nikakutana na huyo tajiri wa iringa ,Ndugu JAMANI WANAUME TAFUTENI HELA.Nilihamia apartment moja kali knyama huku nasimamisha mijengo miwili kwa mkupuo ,totoz zilikuwa so royal yaani kupendewa hela raha sana no hard feelings .

Nakumbuka enzi hizo nikiona totoz kali barabarani namsalimu kwa heshima kisha nilikuwa na ka -fake business card kanakoonyesha mimi ni CEO na elfu ishirini kisha nasema ya vocha utanipigia akijitusu akapiga namuita kibla eneolenye bar nje lodge ndani na humwambia chukua tax akifika nakapa kilo nakaambia pocket money ,baada ya hapo napewa utamu wa mabo ya bara. Skuwa nabadili miezi miwili nampamtoto bata la mwaka shopping za mil moja huwa ni lazima wiki ya kwanza guys I was 100 % this is not love but it almost felt like it.

Ila baada ya game nilikuwa nafeel so lonely nashindwa zile za kukumbatiana na mtu ambaye nauhakika hanipendi najifanya kuangalia tv navizia alale ndo narudi nikisha ona anaanza kama swaga za kufall namuwekea parachute a-fall salama nasepa maana utamu wa mapenzi ya kondomu haujai kiivyo,nilikuwa na namba maalumu kwa ajili yao nikishaenda kazini nazima kupatikana jion tena ka sms natuma '' njoo chaga bite na rafiki yako'' ni bia bia mikasi napita hivi

Kwa muda huu wote sikuwahi kuumizwa wala kuumiza ,sikuwahi penda wala pendwa naIita ''LOVE HOLIDAY'' KAZI ikaisha nikahamia kwangu kwa msaada wa ushauri wa mabro wa mtaani na wazazi nikatafuta katoto kamoja nyakanga kamemzidi somo na kungwi (hodari by mbosso ) nkajituliza with caution .

Kimsingi I Cherish that moment and i will memorize for the rest of my life ,it was real a wild way but yap it was experience.

NB: Mimi si mkristo wala muislamu so sina kitabu nachoki obey so hayo mambo ya wazungu na waarabu nisisikie .
Sikuhizi umenyooshwa hizo vurugu huna chezea awamu ya 5, babies kwasasa unawapita mbali kabisa
 
Ni sehemu ya maisha,furaha pia ni muhimu.kila mtu anapenda raha,inabidi kupambana ili kupata raha hiyo.
 
mkuu post ni the practical of this in my life nilikuwa nikipata almost 6 mil per month 3 inaenda ujenzi tatu nakula kwa fujo sana ,its my life my choice
Nakupongeza sana Mkuu,uliishi kwa kuisikiliza nafsi yako...kuna wajinga wachache hapo juu walitaka uishi kwa kufuata matakwa ya nafsi zao!
 
Back
Top Bottom