Nina uhakika kabisa wadada wengi tunaoamkia,kupika,kutandik,kuota ndoto wakiwa hapa jukwaani wengi hawajaolewa na wamefika umri wa kuolewa.Ni Dhahiri kabisa heshima ndogo na jeuri wanayo onesha...
Ingekua siku moja kabla ya kufa unapewa nafasi ya kuchagua kitu kimoja cha kuzikwa nacho, Wewe mwana Jf mwenzangu ungechagua kitu gani?
Mimi kivyangu ningechagua smart phone yangu tu iwe na...
Niende kwenye topiki moja kwa moja, uzi huu ni maalumu kwa wanaume na wavulana wote tuliowahi kuachika ama kupigwa kibuti na mademu tuliokuwa tunatoka nao kimapenzi.
Mimi alinipiga kibuti kisa...
Naangalia huu wimbo umetoka juzi. Nashangaa Mbona Cardi B kawa na makalio MAKUBWA ghafla?
NI kwamba kaongezea au?
Habari kamili kwenye video hapa chini
Hapa kuna mambo mawili
1.Unaoa mwanamke halafu umepanga jirani na kwao alikotokea.
2.Unaoa mwanamke wazazi wake wanaishi wilaya 1 na wewe.
Wanawake wa aina hii wote hawafai watakusumbua...
"Tukiwa katika wakati wa kunyooshwa tunyooke...
Sasa hivi wanaume wengi hawana Michepuko Kabisa!
Yani mwanaume mwenye mshahara WA kawaida Tu kutoa hela yake akampe Michepuko wakati ana watoto...
Habari za mida wakuu!
Ni matumaini yang mko vema kiafya.
katika harakati za kutafuta maisha kwny jamii zetu tulio wengi tumewah kupitia, tunapitia na wengne tunatarajia kupitia maisha ya geto...
Wadau jana nlimpeleka Bibi angu Ocean Road Hospital kwa kweli nimegundua magonjwa yana tesa sana Binaadamu nimekutana na watu wamekata tamaa ya maisha kabisa na wanamiliki pesa ila haziwasaidii...
Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...
Tuwasamehe tu
wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…
Wamama wenye watoto wa kiume...
Jumamosi saa nne na nusu asubuhi nasikia simu inaita...sababu mikono yangu ipo busy na mambo flan hivyo nmeweka earpiece basi napokea sababu sijui ni nani anayenipigia.ingawa wakati inaita namba...
Habari zenu wanaJF,
Ijumaa nikiwa ofisini dada angu wa kazi alinitumia msg akiniomba nimtumie vocha anataka kuwasiliana na kwao, nikamjibu mazingira ya ofisini hapa hakuna duka hivo nitakununulia...
Moja kwa moja twende kwenye d
Mada husika, Toka ijumaa mke wangu alilazwa hospital ya wilaya wale wenyewe kumbukumbu watakumbuka juzi nilipost uzi hapa!
Sasa Leo ameruhisiwa Dada Dada zangu...
Wanajukwaa mu hali gani?
Mada yangu ni kuomba ushauri wa kisheria.Naomba radhi kama nimekosea kwa kuweka humu hili angalizo.
Kuna mademu zangu watatu nilishaachana nao lakini wamekuwa wanabadili...
Nashukuruni kwa ushauri wenu.ile shifa yangu ya kucheki picha chafu imeisha.naenda week ya tatu sasa.japo sijavuka danger days nione kama nitashinda majaribu ila sitacheki Tena.
Ila naombeni...
NAOMBENI MSAADA WA KIUZOEFU NA KITAALAMU JUU YA CHAKULA CHA MTOTO CHA KUMUANZISHIA BAADA YA KUNYONYA MIEZI MIEZI MITANO NA NIMEONA DALILI ZOTE ZA MTOTO KUANZA KUTAKA KUANZISHIWA CHAKULA KINGINE...
Hiki kisa kilinitokea wakati nikiwa bachelor. Unanijua kabisa mimi naishi ghetto peke yangu. Unakuta nguo ya kike unaanza kuhoji hoji! Asee fata kilichokuleta, ujue kuna mama mwenye nyumba na kama...
Jamani, leo nimeona nielezee jinsi nilivyo geuzwa mtumwa na tamaa zangu mwenyewe.
Baada ya kupitia jeshi la kujenga BALEHE na kufuzu, nikaanza kujihusisha na wanawake.
Mwanzoni nilikuwa najua kuwa...
Nikiwa field na jamaa zangu mwaka 2005 katika hosteli tuliokua tukikaa maji yalikatika tukalazimika enda mtoni piga mbizi.Tulikua na jamaa flani wa makamo hivi wakajitenga pembeni kidogo.
Sie...
Habarini wanajukwaa, napenda kushare nanyi story Fulani ambayo kwa sehem ndogo Sana nilihusika, iko hivi Nina rafiki yangu wa karibu Sana toka primary huyu jamaa mwaka...