Usilolojua kuhusu Dar..

Usilolojua kuhusu Dar..

Tairus

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
680
Reaction score
1,068
Unaambiwa Dar ni mikoa minne,Mvua ya Posta na jua la Mwenge ni vitu viwili tofauti..[emoji28][emoji28]
 
Unaambiwa Dar ni mikoa minne,Mvua ya Posta na jua la Mwenge ni vitu viwili tofauti..[emoji28][emoji28]
kila mgeni aingiaye dar ni lazima atakaribishwa tu jijini iwe kwa kulanguliwa ,kutapeliwa,kudanganywa ...nahisi ile kauli umeachwa mjini ilianzia jijini dar es sallam
 
kila mgeni aingiaye dar ni lazima atakaribishwa tu jijini iwe kwa kulanguliwa ,kutapeliwa,kudanganywa ...nahisi ile kauli umeachwa mjini ilianzia jijini dar es sallam
Sio kweli na wala sio kwa kila mtu, jipange Tena uje na hoja yenye mshiko
 
hicho ndio kitu nilichoshangaa humo jijini. ukijifanya unaharaka unyeshewe mvua sehemu A ukifika sehemu B unaaibika maana utakutana na Jua na kila mtu anakuona chizi umetepeta kwa maji mwili mzima. Huo ujinga mwanza hatuna. Mvua ikinyesha inanyesha kote tunajua.
 
Back
Top Bottom