Uzi Maalumu kwa Tuliowahi Kupigwa Kibuti na Watoto wa Kike ama Mademu

kisokolokwinyo20

JF-Expert Member
Apr 15, 2019
472
422
Niende kwenye topiki moja kwa moja, uzi huu ni maalumu kwa wanaume na wavulana wote tuliowahi kuachika ama kupigwa kibuti na mademu tuliokuwa tunatoka nao kimapenzi.

Mimi alinipiga kibuti kisa sikumtumia meseji wala kumpigia simu siku ya birthday yake.

Tuelezane wenzangu yalowakuta uliachwaje, kwa sababu zipi?
 
Niseme ukweli sijawahi kupigwa kibuti sababu sitongozi hovio sikumbuki mara ya mwisho ilikuwa mwaka gani nilitongoza, ila wengi wananitongoza na kujilengesha
 
Kama hakunikataa wakati namtongoza, basi hawezi kunipa kibuti tukishakuwa mubashara.

Sikumbuki kama nimeshawahi kupigwa buti.
 
Niende kwenye topiki moja kwa moja, uzi huu ni maalumu kwa wanaume na wavulana wote tuliowahi kuachika ama kupigwa kibuti na mademu tuliokuwa tunatoka nao kimapenzi.

Mimi alinipiga kibuti kisa sikumtumia meseji wala kumpigia simu siku ya birthday yake.

Tuelezane wenzangu yalowakuta uliachwaje, kwa sababu zipi?
Kuna dem nilikua nataka aniache. Siku moja akaniomba hela nikamnyima, akajiongeza mpaka leo sijui kafiaga wap. Yan nashukuru kaniacha sababu aliku single mama alafu tomboy.Dah ujana huu ni waki waki kweli.
 
Back
Top Bottom