Madhara ya kisasi:.

Madhara ya kisasi:.

Lakunle

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
637
Reaction score
590
Habarini wanajukwaa, napenda kushare nanyi story Fulani ambayo kwa sehem ndogo Sana nilihusika, iko hivi Nina rafiki yangu wa karibu Sana toka primary huyu jamaa mwaka Jana alimfumania mkewe akiwa analiwa na jamaa mwingine kitandan kwake. Aliumia Sana ila akaahidi kusamehe mkewe maana alinambia alifanya vile ili apate kitu chochote maana walikuwa katika wakati mgumu mno wa kimaisha.
Siku zikazidi kwenda jamaa akanishirikisha kuwa anapata wakati mgumu Sana kumpa haki ya ndoa mkewe maana kila akikumbuka tukio la kumfumania mkewe ham inamwisha kabisa. Nikakwambia ajitahidi kusahau maana alidhamiria kumsamehe.
Ukapita mwaka na kidogo jamaa akagundua kuwa mkewe amekuwa akidate na Yule jamaa alomfumania karbia mwaka unaisha, jamaa akaamua kulipiza kisasi akamfuata mke we jamaa akamweleza ukweli mke akaelewa somo wakaanza kudate hakuishia hapo akamfuata mke wa jamaa mwingine ambaye ni rafiki mkubwa wa mkewe akawa anadate nae kwa lengo la kumuumiza mkewe
Kila hatua alokuwa anapitia alikuwa akanishirikisha nilikuwa nikimshauri asifanye hivyo lakini kwa kuwa alipania sikuwa na nguvu ya kumrudisha nyuma. Sasa huyu mwanamke wa pili Ni mwathirika siku nyingi nilijarib kumkanya aachane nae na kumwambia huyo ni mgonjwa akawa haelew somo Basi nkabaki kumkumbusha atumie kondomu na kunihidi atakuwa akifanya ivyo, Sasa juzi hapa Hap ameugua kijihoma akalazwa na utaratibu wa zahanat hapa ukilazwa lazma upime ukimwi jamaa ameukwaa amebaki kunilaum kwa nn sikumkataza wakati nilitumia nguvu kubwa kumkataza lakini hakunielewa. Mkewe wamempima Yuko poa jamaa anajialaum laiti angelijua ....... Lakini mda ushaisha
 
Duh inasikitisha sana [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hasira hasara unamfumania mke bado unaendelea nae piga chini
 
jamaa mwaka Jana alimfumania mkewe akiwa analiwa na jamaa mwingine kitandan kwak
Huu ni mwaka jana kw maelezo ya hadithi yako halfu ikaja hii baada ya huo mwaka jana
Ukapita mwaka na kidogo jamaa akagundua kuwa mkewe amekuwa akidate na Yule jamaa alomfumania karbia mwaka unaisha, jamaa akaamua kulipiza kisasi akamfuata mke we jamaa akamweleza ukweli mke akaelewa somo
kalender yako iko ikoje? Hebu tengeneza seriea nzuri kidogo walau isionekene chai!
 
Na hasira saana kila uzi nikianzisha unafutwa
Cha ajabu situkani mtu wala kiongozi wala serikali yangu
Nakutuma sasa[emoji35]peleka salamu kwa hao wanaojiita Mods[emoji35]wasije wakajiita Mudy🤫siku wakifuta Uzi hlf wakajikuta hawakojoi[emoji34]wala tusilaumiane namuheshim mno Mshana Jr lkn tutapambanana hao Mods
Walai nakwambia[emoji34]kawaeleze
Naongea kwa machungu saana,manake hatuna pakusemea ili humu JF yetu hii iliokuwa wazi na democracy
Nakumbuka JF ya 2013 ilikuwa tunaongea huru kama wabunge wanavyokuwa bungeni
JF ya awamu ya 5 tunafungwa midomo,!!!
Ole wao wajaribu sasa walai tena wakikojoa Natena Ngw’na Bushesha Onenee[emoji1321]‍♂️
 
Kahadithi ka Shigongo
yaani jamaa kaliwa, akamtafuta mke wa mgoni wake kapiga na shoga yao kapiga
sasa huu mzunguko kwanini usiwarudie wote wanne na mkewe aambukizwe
Mantiki siioni hapo kwani Ukimwi hauui siku hizi
na hizo nguvu za kugonga wote hao wakati umegongewa na unalala nyumba moja mwaka mzima UNAFANYA NINI?
 
Nakumbuka JF ya 2013 ilikuwa tunaongea huru kama wabunge wanavyokuwa bungeni
JF ya awamu ya 5 tunafungwa midomo,!!!
Ole wao wajaribu sasa walai tena wakikojoa Natena Ngw’na Bushesha Onenee[emoji1321]‍♂
Ngosha umeeleweka lakini kwanini unabadili ID kujificha
km ulikuwepo tangu 2013 kwanini umejiunga tena 2017 Feb 7 wakati JF ni huru
tumia ID ya kwanza uweke hizo Mada zako maana sasa huru Gongo mpaka Banghe sijui unatakanini tena
 
Ungelijua hilo ungelitafakari kwanza,,
Hoja sio ID ijioneshe ati flani umejiunga mwaka flani
Tusiangalie Status ya Mtu, tuangalie hoja tu[emoji1321]‍♂️
 
Ngosha umeeleweka lakini kwanini unabadili ID kujificha
km ulikuwepo tangu 2013 kwanini umejiunga tena 2017 Feb 7 wakati JF ni huru
tumia ID ya kwanza uweke hizo Mada zako maana sasa huru Gongo mpaka Banghe sijui unatakanini tena

Kaka yangu ukwaju kumbe wewe unaangalia hilo tu,kwa hivyo wabunge wa 2015 hawana haki ya kuchangia mbele ya wabunge wakongwe walioanza kuingia bungeni tangia 2000[emoji38]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom