Madem niliochana nao wanaweka picha zangu DP

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,721
Wanajukwaa mu hali gani?

Mada yangu ni kuomba ushauri wa kisheria.Naomba radhi kama nimekosea kwa kuweka humu hili angalizo.

Kuna mademu zangu watatu nilishaachana nao lakini wamekuwa wanabadili picha zangu kwenye whatsApp profile au hata status!

Hili jambo linanichukiza na nimewaonya sana ila ndio kama namwagia moto mafuta.

Je, naweza kushtaki wapi au nifanye vipi ili wasiendelee kutumia picha zangu kwa faida zao.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Ulirukia vivuruge vya ufipa hayo ndiyo madhara yake
 
Wanajukwaa mu hali gani?

Mada yangu ni kuomba ushauri wa kisheria.naomba radhi km nimekosea kwa kuweka humu hili angalizo.
Kuna madem zangu watatu nilishaachana nao lakini wamekuwa wanabadili picha zangu kwenye whatssup profile au hata status!
Hili jambo linanichukiza na nimewaonya sana ila ndio kama namwagia moto mafuta.
Je naweza kushtaki wapi au nifanye vipi ili wasiendelee kutumia picha zangu kwa faida zao.
Natanguliza shukrani zangu....
Kwanini uliachana nao na bado wanakukumbuka, tuanzie hapo kwanza.
 
Hao wote nilikuw nao kw wakati tofauti tofauti na nikaachana nao tofauti tofauti pia.mi nnavyoelewa mkiachana bas hakuna haja kuwekana profile ni ushamba huo
 
Simple solution...
Fanya mpango uwagonganishe ili wote wajuane na wajue kama wote umewala.
Waite kila mmoja wao sehemu moja na siku moja ili wakutane halafu wachane makavu, niamini hakuna kima atakusumbua tena....
 
Hujajibu swali langu mkuu bali umetoa maelezo, jibu kwanza halafu ndo tuendelee na topic.
 
Ndio matatizo ya mademu hayo

Ita mmoja baada ya mwingine ghetto kula kwanza then shika simu zao,futa picha
 
Wanajukwaa mu hali gani?

Mada yangu ni kuomba ushauri wa kisheria.naomba radhi km nimekosea kwa kuweka humu hili angalizo.
Kuna madem zangu watatu nilishaachana nao lakini wamekuwa wanabadili picha zangu kwenye whatssup profile au hata status!
Hili jambo linanichukiza na nimewaonya sana ila ndio kama namwagia moto mafuta.
Je naweza kushtaki wapi au nifanye vipi ili wasiendelee kutumia picha zangu kwa faida zao.
Natanguliza shukrani zangu....

Ungewaacha na kuonyesha kutojali wangeacha siku nyingi kufanya hivyo
 
Wanajukwaa mu hali gani?

Mada yangu ni kuomba ushauri wa kisheria.naomba radhi km nimekosea kwa kuweka humu hili angalizo.
Kuna madem zangu watatu nilishaachana nao lakini wamekuwa wanabadili picha zangu kwenye whatssup profile au hata status!
Hili jambo linanichukiza na nimewaonya sana ila ndio kama namwagia moto mafuta.
Je naweza kushtaki wapi au nifanye vipi ili wasiendelee kutumia picha zangu kwa faida zao.
Natanguliza shukrani zangu....
Kijana bado ujawa matured wewe, sass ufute namba zao
 
Ndio matatizo ya mademu hayo

Ita mmoja baada ya mwingine ghetto shika simu zao,futa picha
Afute picha bila kufny chochote kile mkuu??

Ebu ongezea ushauri kidogo mkuu kabla cjamalizia jibapa langu hapa
 
Simple solution...
Fanya mpango uwagonganishe ili wote wajuane na wajue kama wote umewala.
Waite kila mmoja wao sehemu moja na siku moja ili wakutane halafu wachane makavu, niamini hakuna kima atakusumbua tena....
Wakimfanyia joint venture wakampiga je!
 
Umejuaje kama wanaweka picha zako DP kama na wewe huwafuatilii? hao mademu zako na wewe akili zenu zinafana,japo hii story inaonekana ni chai tu.
 
Wanajukwaa mu hali gani?

Mada yangu ni kuomba ushauri wa kisheria.Naomba radhi kama nimekosea kwa kuweka humu hili angalizo.

Kuna mademu zangu watatu nilishaachana nao lakini wamekuwa wanabadili picha zangu kwenye whatsApp profile au hata status!

Hili jambo linanichukiza na nimewaonya sana ila ndio kama namwagia moto mafuta.

Je, naweza kushtaki wapi au nifanye vipi ili wasiendelee kutumia picha zangu kwa faida zao.

Natanguliza shukrani zangu.
W block hutaziona hapo dawa itakua imepatikana
 
Inaonekana ao madem hawana mvuto ilo jina la demu ni "overrated " kwao waite waschana
 
Back
Top Bottom